Harusi ya mwana TBN Dickson Busagaga ilivyofana!
Dickson
Busagaga na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa
iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika
kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23
Sep, 2015.
Waharusi...
Soma Zaidi..Kalapina aunguruma Mtambani kata ya Mzimuni!
Karama Masoud aka Kalapina akihutubia wakazi wa eneo la Mtamba kata ya Mzimuni leo jioni
Mwanaharakati Kalapina akimwaga sera kwa wakazi wa Magomeni Mikumi leo
Picha na Hassan Kachlou...
Soma Zaidi..Zetrida Ezekiel atoka na Ringa na Yesu!
Zetrida Ezekiel ni mwanamuziki mahiri wa muziki wa injili aishiye mkoani Kigoma, amekuwa mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mwana kwaya wa kikundi maarufu na kikongwe cha nyimbo za injili cha MKE MWEMA cha mjni Kigoma....
Soma Zaidi..Nipeni mwaka mmoja tu muone mabadiliko Kinondoni!- Karama (Kalapina) Masoud
Mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Bw Karama Masoud aka Kalapina akiwahutubia wakazi wa Kinondoni Moscow kituo cha polisi jijini Dar es Salam leo jioni.
Msanii maarufu wa muziki wa kufoka foka nchini...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)