mkalamatukio

Fwd: DkShein Aendelea na Kampeni Zake na Kusema Ataendeleza Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa na Kuleta Maendeleo Zaidi kwa Wazanzibar katika Wananchi Wake na Elimu Bure Zanzibar.

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha Mapinduzi pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa CCM Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Mpira Konde Kisiwani Pemba...
Soma Zaidi..

MSAFARA WA SUGU WASHAMBULIWA KWA MAWE AKIELEKEA KATIKA KAMPENI ZAKE ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MBEYA

Gari la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu likiwa kituo cha Polisi kati jijini Mbeya mara baada ya kushambuliwa kwa mawe na watu wanaosadikiwa kuwa ni wafuasi wa CCM. Sugu akiwa kituo cha Polisi na wafuasi wake.Picha...
Soma Zaidi..

TAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO MKOANI PWANI

 Mwenyekiti wa Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27, 2015 katika...
Soma Zaidi..

MAGUFULI APOKELEWA KAMA MFALME KIGOMA,WANANCHI WAKIRI WAZI ATOSHA KUWA RAIS

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia  maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za Urais,uliofanyika katika uwanja wa Kawawa,mkoani...
Soma Zaidi..

Mh Iddi Azzan azindua kampeni za ubunge Kinondoni kwa kishindo!

Mh Iddi Azan akihutubia umti ulifurika katika viwanja vya CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar leo jioni. Mh Iddi Azan leo hii alizindua kampeni ya ubunge wa jimbo la Kinondoni ambapo yeye ndiye mgombea aliyeteuliwa na CCM kuiwakilisha...
Soma Zaidi..