Mh Iddi Azzan azindua kampeni za ubunge Kinondoni kwa kishindo!
Mh Iddi Azan akihutubia umti ulifurika katika viwanja vya CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar leo jioni.
Mh Iddi Azan leo hii alizindua kampeni ya ubunge wa jimbo la Kinondoni ambapo yeye ndiye mgombea aliyeteuliwa na CCM kuiwakilisha...
Soma Zaidi..Bi. Samia Suluhu Afunika Mkutano wa Kampeni Kibaha
WanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika Wilaya ya Kisarawe, ambapo mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi, Samia Suluhu (hayupo pichani) alihutubia
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho...
Soma Zaidi..Pombe Yahusishwa, Ajali Mbaya ya Bodaboda..! Askari Nao Jee..?
Kamera ya mtandao huu imelimulika tukio baya la ajari iliyohusisha pikipiki mbili eneo la Club Royal karibu na lango la kuingilia chuo cha Utumishi wa Umma cha Tabora zamani UHAZILI.
Mfuatiliaji wa tukio alibainisha dereva mmoja alikuwa...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)