mkalamatukio

Hatimaye baba wa Gary na Phil Neville azikwa kijijini kwao Bury!

Gary na Phil Neville wakiwa wamebeba jeneza la baba yao pichani chini! Neville Neville (65) alifariki  wikinchini Australia kwa shambulizi la moyo.  Baba wa wachezaji malejendari wa kilabu cha Manchester United Gary na...
Soma Zaidi..

Jumuiya ya marafiki wa Kinondoni yapata uongozi wa muda

Toka kushoto waliosimama ni Abdul Kazembe (mjumbe) Mahmoud Kamusi(Mjumbe)Adam Tuga Bush (mjumbe)Toka kushoto waliokaa Florah Samuel (mweka hazina msaidizi) Suzane Bagilla (katibu mkuu) Yahya Poli (Mwenyekiti) Mkala Fundikira (makamu wa...
Soma Zaidi..

WAZIRI HAWA GHASIA AZINDUA MAFUNZO YA MADEREVA WA MABASI YA MWENDO WA HARAKA DAR ES SALAAM LEO

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika  Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo...
Soma Zaidi..

NHIF yawataka bloggers kujiunga na mfuko wa bima ya afya!

             Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akifungua semina ya kati ya mfuko huo na Ma blogger wanachama wa Chama habari za mitandao ya kijamii...
Soma Zaidi..