mkalamatukio

WANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu magonjwa yasiyoambukiza. Kulia ni...
Soma Zaidi..

George Nganda afariki dunia!

George Nganda (38) mkazi na mzaliwa wa Kinondoni B Mtaa wa Isere alifariki dunia juzi usiku kuamkia jana baada ya kuugua mapafu. Akiongea na mtandao huu Bw Ivan Minja ratibu wa Kundi la wakazi na waliokuwa wakazi wa Kinondoni ameeleza...
Soma Zaidi..

Fastjet yafadhili ziara ya waandishi wa habari wa Tanzania nchini Zimbabwe

Pichani ni Mhudumu wa Mapango ya Chinhoyi Cephas Sithole akitoa maelezo kwa timu ya waandishi wa habari waliombatana na wadau wa utalii kutoka nchini Afrika Kusini kwenye ziara hiyo ya kutembelea vivutio vya utalii nchini Zimbabwe katika...
Soma Zaidi..

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YATOA DOLA ZA MAREKANI 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA

 Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez  (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini mkataba wa kusisaidia Hospitali hiyo. Kutoka kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO)...
Soma Zaidi..