KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YATOA DOLA ZA MAREKANI 150,000 KWA HOSPITALI YA CCBRT KUSAIDIA WATOTO WENYE MIGUU ILIYOPINDA
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini mkataba wa kusisaidia Hospitali hiyo. Kutoka kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO)...
Soma Zaidi..Wapinzani wapinga muhula wa 3 wa Kagame
Rais Paul Kagame wa Rwanda
Zaidi ya raia milioni 7.3 wametia sahihi ombi la kuunga mkono mabadiliko hayo. Nchi hiyo ina jumla ya watu 11.3m.
Wakosoaji wanasema wengi waliounga mkono ombi hilo ni wafungwa ambao hawaruhusiwi...
Soma Zaidi..BABA YAKE MSANII STEVE NYERERE AFARIKI!
Marehemu Francis Festus Mengele, enzi za uhai wake.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Francis Festus Mengele.
Shangazi wa Msanii, Steve Nyerere, Grace Mengele...
Soma Zaidi..Prof Mark Mwandosya asaka wadhamini Kilimanjaro
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama
akisalimiana na Waziri wa nchi,Ofisi ya Rais(Kazi Maalum) Prof,Mark
Mwandosya mara baada ya kufika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa
Kilimanjaro wakati akiwa njiani kutafuta wadhamini.
Prof,Mwandosya...
Soma Zaidi..Pamoja na kukosa tunzo ya Kili ki mizengwe Christian Bela apagawisha Tabora!
Christian Bella akijimwaga jukwaani.
Masaa machache baada ya kukosa kitatanishi tunzo ya wimbo bora wa mwaka katika Kili Music Awards Christian Bela (King of melodies) alipagawisha wapenzi wa muziki mjini Tabora alipoporomosha bonge la...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)