mkalamatukio

JK ALOPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI JIJIJINI THE HAGUE

Sonigwe(red top) akisubiri kusalimiana na Mh Rais Kikwete alipokutana na wa Tazania wanaoishi Holland  Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana...
Soma Zaidi..

RC GAMA AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwa bungeni dhidi yake. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga katika...
Soma Zaidi..

MSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA WAWASILI WILAYANI KAHAMA USIKU HUU KWA BASI,KESHO KUANZA RASMI ZIARA YA KAGERA

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na kamati ya Ulinzi na Usalama usiku huu ndani ya wilaya Kahama mkoani Shinyanga tayari kwa mapumziko,ambapo kesho ataianza rasmi ziara yake katika kijiji cha...
Soma Zaidi..