mkalamatukio

MANDHARI MWANANA YAWAVUTIA WATALII WA NDANI HIFADHI YA TAIFA YA MLIMA KILIMANJARO

Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa katika gari kuelekea kilele cha Shira katika hifadhi ya mlima Kilimanjaro. Kundi la Pili la watalii wa ndani wakiwa katika eneo la uwanda wa Shira mara baada ya kufika kwa usafiri wa gari hadi katika...
Soma Zaidi..

KAMPUNI YA BONITE BOTTLERS YAMWAGA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI.

Meneja mwajiri wa kampuni ya Bonite Bottlers ,Joyce Sengoda akiwasalimia wananchi katika vijiji vya Mikocheni ,Kilungu na Chemchem vilivyofikwa na mafuriko hivi karibuni wakati uongozi wa kampuni hiyo ulipofika kwa ajili ya kutoa msaada. Meneja...
Soma Zaidi..

UNESCO YAAHIDI KUWASAIDIA WATANZANIA KUKABILI DHULUMA DHIDI YA WANAOISHI NA ALBINISM

   Kiongozi wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo (kushoto) alipomtembelea ofisini...
Soma Zaidi..

Mohamed Dewji akutana na Rais wa Msumbiji!

CEO wa Makampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji (kulia) katika picha ya pamoja na Rais wa Mozambique, Mh. Filipe Nyusi walipokutana jijini Dar es Salaam. CEO wa Makampuni ya MeTL Group na...
Soma Zaidi..

MAPINDUZI YAFELI BURUNDI

Mnamo 13 mwezi May jenerali mmoja wa jeshi alitangaza katika redio ya taifa kwamba rais wa Burundi amepinduliwa na kwamba serikali ya mpito itabuniwa.Lakini msemaji wa rais alikana habari hizo akidai kuwa kulikuwa na usaidizi mdogo katika...
Soma Zaidi..

Imetosha foundation yatoa msaada kwa kituo cha Buhangija, Shinyanga!

Toka kushoto ni Kathrin Hoff, kijana Paulo, Masoud Kipanya na Balozi Henry Mdimu. Taasisis ya Imetosha ya jijini Dar es Salaam leo hii imepeleka misaada mbali mbali katika kijiji cha watoto wasioona cha Buhangija, Shinyanga ambacho...
Soma Zaidi..