Mohamed Dewji akutana na Rais wa Msumbiji!
CEO wa Makampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji (kulia) katika picha ya pamoja na Rais wa Mozambique, Mh. Filipe Nyusi walipokutana jijini Dar es Salaam.
CEO wa Makampuni ya MeTL Group na...
Soma Zaidi..MAPINDUZI YAFELI BURUNDI
Mnamo 13 mwezi May jenerali mmoja wa jeshi alitangaza katika redio ya taifa kwamba rais wa Burundi amepinduliwa na kwamba serikali ya mpito itabuniwa.Lakini msemaji wa rais alikana habari hizo akidai kuwa kulikuwa na usaidizi mdogo katika...
Soma Zaidi..Imetosha foundation yatoa msaada kwa kituo cha Buhangija, Shinyanga!
Toka kushoto ni Kathrin Hoff, kijana Paulo, Masoud Kipanya na Balozi Henry Mdimu.
Taasisis ya Imetosha ya jijini Dar es Salaam leo hii imepeleka misaada mbali mbali katika kijiji cha watoto wasioona cha Buhangija, Shinyanga ambacho...
Soma Zaidi..KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI ANSI MMASI ATOA MSAADA KWA WALIOATHIRIKA NA MFURIKO MOSHI VIJIJINI.
Chakula cha msaada kwa ajili ya wananchi
walio athirika na mafuriko wilaya ya Moshi vijijini kikushushwa katika
ofisi ya mkuu wa wilaya kwa ajili ya kwenda kukabidhiwa kwa
wahusika.
Kada wa Chama cha Mapinduzi Ansi Mmasi
akikabidhi...
Soma Zaidi..MKURUGENZI MUWSA ,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AWAAGA WAFANYAKAZI,NI BAADA YA KUHAMISHIWA DAWASCO.
Aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi
na usafi wa Mazingira mjini Moshu (MUWSA) mhandisi Cyprian Luhemeja
akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa
kauli ya kuwaaga baada ya kuteuliwa kushika nafasi...
Soma Zaidi..MIPANGO NA SERA ZITEKELEZWE KUMUOKOA MAMA NA MTOTO MCHANGA
Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada zinazofanywa na mradi wa Mama Ye katika...
Soma Zaidi..Rais Kikwete na Jopo la watu mashuhuri waanza kazi New York
Rais Kikwete na Jopo la watu mashuhuri waanza kazi New York...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)