MIPANGO NA SERA ZITEKELEZWE KUMUOKOA MAMA NA MTOTO MCHANGA
Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada zinazofanywa na mradi wa Mama Ye katika...
Soma Zaidi..Rais Kikwete na Jopo la watu mashuhuri waanza kazi New York
Rais Kikwete na Jopo la watu mashuhuri waanza kazi New York...
Soma Zaidi..Mahakama ya kikatiba nchini Burundi imemruhusu rais Pierre Nkurunziza kuwania muhula wa tatu.
Kulingana na vituo vya redio nchini humo,Jaji wa mahakama hiyo alitoa uamuzi huo mapema leo asubuhi .
Hapo Jana makamu wa mahakama hiyo Jaji Sylvere Nimpagaritse ,alilitoroka taifa hilo akidai kuwa walikuwa wakishinikizwa kutoa uamuzi...
Soma Zaidi..Bilionea Dangote bado anataka kuinunua Arsenal!
Uwanja wa the Emirate London ya kaskazini
Bilionea mNigeria mfanyabiashara wa saruji Bw Aliko Dangote ameeleza nia yake ya kuinunua klabu ya Arsenal ya England. Dangote ambaye ndiye mtu tajiri kuliko wote katika bara la Afrika ambaye ana...
Soma Zaidi..MVUA YASABABISHA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI,MBUNGE LUCY OWENYA AWAFARJI WAATHIRIKA.
Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba
kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na
makazi ya watu kujaa maji.
Mbunge wa viti maalumu ,Lucy Owenya
(Chadema) (kulia)akiwa ameongozana na diwani wa kata...
Soma Zaidi..Mayweather amshinda Pacquiao kwa pointi na kuweka rekodi ya ushindi mara 48!
Floyd Mayweather akitua moja ya sumbwi kati ya mengi yaliyompa ushindi dhidi ya m Philipino Manny Pacquiao .Lile pambano la kuvunja rekodi ki pesa zilizohusishwa kwa mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao hatimaye limefanyika...
Soma Zaidi..Mratibu wa asasi ya Better Living Aid atoa wito kwa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi!
Watangazaji Hamisa Mussa Lubilo na Deogratius Yagomba wa VOT fm 89.0 wakimuuliza maswali mratibu wa asasi ya Better Living Aid walipomualika leo asubuhi katika kipindi cha Meza huru!
Mratibu wa asasi ya kiraia ya Better Living Aid Bw...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)