mkalamatukio

MVUA YASABABISHA MAFURIKO MOSHI VIJIJINI,MBUNGE LUCY OWENYA AWAFARJI WAATHIRIKA.

Mafuriko makubwa yamevikumba vijiji saba kikiwemo kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri miundombinu pamoja na makazi ya watu kujaa maji. Mbunge wa viti maalumu ,Lucy Owenya (Chadema) (kulia)akiwa ameongozana na diwani wa kata...
Soma Zaidi..

Mayweather amshinda Pacquiao kwa pointi na kuweka rekodi ya ushindi mara 48!

Floyd Mayweather akitua moja ya sumbwi kati ya mengi yaliyompa ushindi dhidi ya m Philipino Manny Pacquiao .Lile pambano la kuvunja rekodi ki pesa zilizohusishwa kwa mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao hatimaye limefanyika...
Soma Zaidi..

Mratibu wa asasi ya Better Living Aid atoa wito kwa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi!

Watangazaji Hamisa Mussa Lubilo na Deogratius Yagomba wa VOT fm 89.0 wakimuuliza maswali mratibu wa asasi ya Better Living Aid walipomualika leo asubuhi katika kipindi cha Meza huru! Mratibu wa asasi ya kiraia ya Better Living Aid Bw...
Soma Zaidi..

MBUNGE NDESAMBURO NA MEYA WA MOSHI JAFARY MICHAEL WAENDELEA NA MIKUTANO KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika jirani na Super Market ya Nakumat. Baadhi ya wananchi waliofika katika mkutano huo wakimsikiliza Ndesamburo. Ndesamburo...
Soma Zaidi..

MASHINDANO YA LUCY OWENYA CUP YAZINDULIWA JIMBO LA MOSHI VIJIJINI.

Mbunge wa viti Maalumumkoa wa Kilimanjaro,Lucy Owenya akiwasili katika uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini na kushirikisha kata...
Soma Zaidi..