Hatimaye wakazi wa kijiji cha Amani Tabora usiku wa leo watalala bila kero ya kunguni!
Kijji cha Amani kinavyoonekana
Taasisi ya Better Living Aid kupitia kampuni ya Royal Nsyepa General Supplies ambayo mkurugenzi wake ni Bw Mgalula Fundikira za jijini Dar es Salaam leo imepeleka mtaalamu wa upulizaji madawa ya kuuwa...
Soma Zaidi..WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA BAJAVERO DAR WAPATA MAFUNZO JUU YA HEDHI SALAMA.
Mratibu wa Mradi wa Afya wa Help Kids Edith Peter Mziray akiwasihi wanafunzi kuwa wasikivu wakati wa semina ya Hedhi salama
Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko
ambao pia ni waandaaji wa siku ya Hedhi Duniani...
Soma Zaidi..RAIS MSTAAFU MHESHIMIWA ALI HASSAN MWINYI AWASILI JIJINI WASHINGTON DC.
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali Hassan Mwinyi akiambata na mama Sitti Mwinyi wawasili jijini Washington DC tayari kwa tamasha maalum la Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani.
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Ali...
Soma Zaidi..BALOZI MPYA WA ANGOLA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
Mhe, balozi wa Angola Agostinho Tavares akipokelewa na afisa wa ubalozi Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi .
Mhe, balozi Liberata Mulamula akiwa na furaha baada ya mgeni wake kufika ofisini .
Mhe balozi...
Soma Zaidi..Ujumbe wa Imetosha ukiwa Metro Fm 99.4 Mwanza!
Kutoka kushoto ni Juma Herman (meneja wa Green Palm Hotel), Issaya Mwakilasa aka Wakuvwanga, Jhikolabwino Manyika, Kelvina John, Mwenyekiti Masoud Kipanya na Tonny Alphonce(Mtangazaji Metro fm 99.4
Siku ya Ijumaa ya tarehe 17/04/2015...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)