Siku Mh Al Shaymaar Kweigir alipoweka uheshimiwa pembeni na kusema IMETOSHA!
Mh Al Shaymaar akicheza wimbo wa Imetosha na balozi Mdimu pamoja na baadhi ya watu waliohudhuria matembezi ya uhamasishaji wimbo huo uliimbwa na msanii wa reggae Jhikoman Manyika .
Siku ya matembezi ya uhamasishaji dhidi ya...
Soma Zaidi..Winga Adam Johnson atuhumiwa kubaka binti mdogo!
Mchezaji wa kiungo wa kilabu cha Sunderland Adam Johnson amesimamishwa na kilabu chake baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kujamiiana na msicha mwenye umri wa miaka (15).
Winga huyo mwenye miaka (27) anasadikika kupokea pauni 50,000...
Soma Zaidi..Tafrija ya Tanzania bloggers yafana Serena hotel!
Mwenyekiti wa Mtandao wa mabloga Tanzania Bw Joachim Mushi (The habari blog) akisisitiza jambo wakati akiwakaribisha wageni waalikwa na mgeni rasmi.
Mgeni rasmi katibu mtendaji wa MCT Bw Kajubi Mukajanga na Blogger Othman Maulid(Zanzibar...
Soma Zaidi..Shabiki wa Chelsea mpigania haki za binadamu atuhumiwa kwa ubaguzi Paris!
Bw Richard Barklie akihutubia kongamano la haki za binadamu nchini India
Imebainika kuwa askari polisi wa zamani na mpigania haki za binadamu Bw Richard Barklie ni mmoja kati ya mashabiki watatu wa Chelsea waliomzuia mtu mweusi Suleyman...
Soma Zaidi..Msanii Moses Bushagama aka Mez B afariki dunia leo!
Mez B enzi za uhai wake!
Msanii Moses Bushagama aka Mez B aliyewahi kung’ara na ngoma ya kikuku cha mama Roda ambayo mimi Mkala Fundikira nilimfanyia video yake katika miaka ya 2000 katika studio za Royal Productions, pamoja...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)