PICHA ZA MAZISHI YA NYAWANA FUNDIKIRA
MAMAA NYAWANA AMEPUMZISHWA KATIKA MAKAZI YAKE YA MILELE KATIKA MAKABURI YA ITETEMYA HAPA MKOANI TABORA, NJE KIDOGO NA MJI
MAZISHI YAMECHELEWESHWA KUTOKANA NA KUCHELEWA KUWASILI KWA MWILI HUO WA MAREHEMU...
Soma Zaidi..Umati unaosubiri mwili wa Nyawana umevunja rekodi!
Kadri muda uendavyo ndivyo watu wamezidi kufika ulipo msiba wa Nyawana Fundikira, maeneo ya Gongoni, Tabora mjini. Hata hivyo mwili wake umechelewa kidogo kuwasili mjini hapa lakini watu wameendelea kujazana wakikaa juani bila taabu yeyote....
Soma Zaidi..Waombolezaji wakisubiri mwili wa Marehemyu Nyawana uwasili kutoka Dar es Salaam.
Chakula kikiandaliwa
Waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni kubwa kwa kuondokewa na kipenzi cha Tabora Mamaa Nyawana
Huzuni huzuni huzuni!...
Soma Zaidi..Voice of Tabora ( Vot fm 89.0fm) kurusha live shughuli za mazishi ya Nyawana Fundikira
Mac Denny akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake wa VOT fm 89.0 redio walipokuwa wakiwasilisha ubani wao kwa Baba mdogo wa marehemu Bw Adam Fundikira
Kituo cha redio cha Voice of Tabora kimejitolea kurusha Live shuhuli zote za mazishi...
Soma Zaidi..SAFARI YA MWILI WA MAMAA NYAWANA FUNDIKIRA TOKA DAR KUELEKEA TABORA
Msanii
wa kundi la taarabu la mashauzi classic Thabit Abdul akiwa amebeba
jeneza la mwili wa marehemu msanii Nyawana Fundikila pamoja na wausika
wengine kwa ajili ya kupereka kwenye gari iliyomsafirisha kwenda tabora
kwa ajili ya maz...
Soma Zaidi..Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora!
Ndugu, Jamaa na Marafiki Wakiwa Katika Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora
Shekhe Katika Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora!
DJ Fimbo (aliyevaa prova ya njano)Mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha redio VoT FM ambacho...
Soma Zaidi..Nyawana kuzikwa kesho Tabora!
NYAWANA |Mama wa matashititi enzi za uhai wake
MULARD | MUME WA ZAMANI WA NYAWANA [CHANZO CHA PICHA]
Mwanamuziki maarufu wa Taarabu marehemu Nyawana Fundikira anatarajiwa kuzikwa kesho mchana au jioni kutegemeana na uwasili wa mwili...
Soma Zaidi..
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)