mkalamatukio

Voice of Tabora ( Vot fm 89.0fm) kurusha live shughuli za mazishi ya Nyawana Fundikira

Mac Denny akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake wa VOT fm 89.0  redio walipokuwa wakiwasilisha ubani wao kwa Baba mdogo wa marehemu Bw Adam Fundikira Kituo cha redio cha Voice of Tabora kimejitolea kurusha Live shuhuli zote za mazishi...
Soma Zaidi..

SAFARI YA MWILI WA MAMAA NYAWANA FUNDIKIRA TOKA DAR KUELEKEA TABORA

Msanii wa kundi la taarabu la mashauzi classic Thabit Abdul akiwa amebeba jeneza la mwili wa marehemu msanii Nyawana Fundikila pamoja na wausika wengine kwa ajili ya kupereka kwenye gari iliyomsafirisha kwenda tabora kwa ajili ya maz...
Soma Zaidi..

Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora!

Ndugu, Jamaa na Marafiki Wakiwa Katika Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora Shekhe Katika Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora! DJ Fimbo (aliyevaa prova ya njano)Mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha redio VoT FM ambacho...
Soma Zaidi..

Nyawana kuzikwa kesho Tabora!

NYAWANA |Mama wa matashititi enzi za uhai wake MULARD | MUME WA ZAMANI WA NYAWANA [CHANZO CHA PICHA] Mwanamuziki maarufu wa Taarabu marehemu Nyawana Fundikira anatarajiwa kuzikwa kesho mchana au jioni kutegemeana na uwasili wa mwili...
Soma Zaidi..

Breaking news! Mwanamuziki wa Taarabu Nyawana Fundikira afariki dunia mchana huu!

Mama Nyawana enzi za uhai wake Mwanamuziki wa muziki wa taarab Nyawana Isale au Maarufu Nyawana Fundikira aka Mamaa Matashtiti amefariki leo hii mchana jijini Dar es Salaam alipokuwa akikimbizwa hospitalini baada kuzidiwa Inafahamika...
Soma Zaidi..

Duniani kuna mambo!

Hawa nao wakatoa yao kali chini ya bahari. Baadhi ya watu wamekuwa wakipenda siku yao muhimu katika maisha yao iwe ya kukumbukwa daima. Kwa mfano wengi wamefunga ndoa zao katika mazingira ya ajabu na wengine wamekwenda mbali zaidi na...
Soma Zaidi..

Galaxy Ace/Galaxy s4 and JVC Camcorder for sale!

Samsung Galaxy S4 Samsung Galaxy Ace i9500 Jvc Camcoder GR-D329E Mini Dv tape For details please call Mpemba on 0712 8310...
Soma Zaidi..