mkalamatukio

SAFARI YA MWILI WA MAMAA NYAWANA FUNDIKIRA TOKA DAR KUELEKEA TABORA

Msanii wa kundi la taarabu la mashauzi classic Thabit Abdul akiwa amebeba jeneza la mwili wa marehemu msanii Nyawana Fundikila pamoja na wausika wengine kwa ajili ya kupereka kwenye gari iliyomsafirisha kwenda tabora kwa ajili ya maz...
Soma Zaidi..

Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora!

Ndugu, Jamaa na Marafiki Wakiwa Katika Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora Shekhe Katika Kisomo cha Marehemu Nyawana Leo Tabora! DJ Fimbo (aliyevaa prova ya njano)Mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha redio VoT FM ambacho...
Soma Zaidi..

Nyawana kuzikwa kesho Tabora!

NYAWANA |Mama wa matashititi enzi za uhai wake MULARD | MUME WA ZAMANI WA NYAWANA [CHANZO CHA PICHA] Mwanamuziki maarufu wa Taarabu marehemu Nyawana Fundikira anatarajiwa kuzikwa kesho mchana au jioni kutegemeana na uwasili wa mwili...
Soma Zaidi..

Breaking news! Mwanamuziki wa Taarabu Nyawana Fundikira afariki dunia mchana huu!

Mama Nyawana enzi za uhai wake Mwanamuziki wa muziki wa taarab Nyawana Isale au Maarufu Nyawana Fundikira aka Mamaa Matashtiti amefariki leo hii mchana jijini Dar es Salaam alipokuwa akikimbizwa hospitalini baada kuzidiwa Inafahamika...
Soma Zaidi..

Duniani kuna mambo!

Hawa nao wakatoa yao kali chini ya bahari. Baadhi ya watu wamekuwa wakipenda siku yao muhimu katika maisha yao iwe ya kukumbukwa daima. Kwa mfano wengi wamefunga ndoa zao katika mazingira ya ajabu na wengine wamekwenda mbali zaidi na...
Soma Zaidi..

Galaxy Ace/Galaxy s4 and JVC Camcorder for sale!

Samsung Galaxy S4 Samsung Galaxy Ace i9500 Jvc Camcoder GR-D329E Mini Dv tape For details please call Mpemba on 0712 8310...
Soma Zaidi..

BOB JUNIOR KUZINDUA WIMBO MPYA "BASHASHA" KAMSHIRIKISHA VANESSA MDEE

NYIMBO MPYA AMBAYO INAAMINIKA KUWA NI NZURI ZAIDI YA ULIZOWAHI KUZISIKIA ITAKWENDA KWA JINA LA "BASHASHA"  MWANADADA MKALI VANESSA MDEE NAYE NDANI KASHIRIKISHWA KWENYE NYIMBO HIYO KALI UTAKAYOPATA KUISIKILIZA BAADA YA UZINDUZI WAKE. SASA...
Soma Zaidi..