mkalamatukio

BOB JUNIOR KUZINDUA WIMBO MPYA "BASHASHA" KAMSHIRIKISHA VANESSA MDEE

NYIMBO MPYA AMBAYO INAAMINIKA KUWA NI NZURI ZAIDI YA ULIZOWAHI KUZISIKIA ITAKWENDA KWA JINA LA "BASHASHA"  MWANADADA MKALI VANESSA MDEE NAYE NDANI KASHIRIKISHWA KWENYE NYIMBO HIYO KALI UTAKAYOPATA KUISIKILIZA BAADA YA UZINDUZI WAKE. SASA...
Soma Zaidi..

Nikon Hd SLR camera inauzwa!

Mtazamo wake kwa juu. Extensive in-camera retouching including raw development and straightening 12.9 megapixel DX-format CMOS sensor (effective pixels: 12.3 million) 3.0-inch 920,000 pixel (VGA x 3 colors) TFT-LCD (same as D3 and D300) Live...
Soma Zaidi..

Valencia ndiye mchezaji mwenye kasi kuliko wote duniani!

Nyota wa Arsenal Theo Walcot amekuwa akifikiriwa ndiye mcheza soka mwenye kasi kuliko wote duniani, lakini imebainishwa kuwa kiungo wa timu ya Man United Antonio Valencia ametajwa na FIFA kuwa ndiye mcheza soka mwenye kasi kuliko wote ulimwenguni,...
Soma Zaidi..

BOB JUNIOR | MASAI NYOTAMBOFU | SAMIR NA MASELE CHA POMBE KUBURUDISHA SIKUKUU YA EID EL HAJ TABORA

Bob junior aka Mr Chocolate Flavor BOB JUNIOR | MR CHOCOLATE | RAIS WA MASHAROBARO | MTAALAMU WA VIOUNO NI MSANII NA PRODUCER ANAYETAMBA NA VIBAO KAMA KIMBIJI, ANDAZI  NA NYINGINE NYINGI, KWA MARA YA KWANZA ATADONDOSHA BONGE MOJA...
Soma Zaidi..

Bob Junior kuburudisha wakazi wa Tabora siku ya Eid El Haj!

Bob Junior Msanii machachari wa muziki wa kizazi kipya Bob Junior aka Sharobaro aka Rais wa wasafi hatimaye kwa mara ya kwanza atafanya onesho la kukata na shoka mjini Tabora katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi katika kusherehekea sikukuu...
Soma Zaidi..

Washiriki wa Miss TPSC Tabora watembelea Cg fm

Nice Mbelwa(Meneja vipindi)akiwatambulisha washiriki wa Miss TPSC 2013 kwa mhariri wa habari wa Cg fm 89.5 Bw Titus Filipo. Washiriki wa shindano la Miss TPSC 2013 jana walitembelea kituo cha  redio cha CG fm 89.5 ambapo walioneshwa...
Soma Zaidi..

MSANII: ALLY NIPISHE amepania kuwaona live mashabiki wake wa Tabora

MSANII: ALLY NIPISHE Msanii wa kizazi kipya anayetamba na vibao kama Ntalila, Nipulika, Daima na milele, Binadam (aliyoimba na AT) na kibao kikali kinachotamba hivi sasa cha MY amepania kuwaona live mashabiki wake wa Tabora huku akimtafuta...
Soma Zaidi..