mkalamatukio

Shindano la Miss Tanzania lazinduliwa rasmi jana

Miss Tabora 2013 Sarah Paul (in blue)akiwa na warembo wengine jana Shindano la Miss Tanzania 2013 lilizinduliwa rasmi jana usiku katika hoteli ya Serena (Moven Pick) ambapo kamati ya Miss Tanzania ikishirikiana na mdhamni mkuu wa shindano...
Soma Zaidi..

Gari inauzwa!

Toyota Rav 4 inauzwa: 2002 Model, 14,000 Milleage,1998Cc, Full ac, cd radio, Leather seats, Sun roof. For more details please inbox me on facebook or call 07546666...
Soma Zaidi..

Miss Tanzania 2012/13 Brigitte Alfred

Mkurugenzi wa Miss Tanzania Bw Hashim Lundenga akisisitiza jambo katika semina ya mawakala iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika hoteli ya Girraffe jijini Dar. Aliyeketi kushoto kwake ni Miss Tanzania 2012/13 Brigitte Alfred. ...
Soma Zaidi..

Mja mzito ashangazwa na uso kujitokeza tumboni mwake

         Tumbo la Karen McMartin lionekanavyo kwa nje   Hali hii ingeweza kujitokeza katika scene za filamu za kutisha kama ile maarufu ALIEN. Lakini mama mtarajiwa Karen McMartin...
Soma Zaidi..

Mwaka 2012!

Waremboz!...
Soma Zaidi..

Unaweza kumtambua Nassor Wazambi katika picha hii?

Mawakala wa Miss Tanzania katika semina wiki iliyopita Picha hii ilichukuliwa siku ya semina ya mawakala wa Miss Tanzania, iliyofanyika katika hoteli ya Girraffe pembezoni mwa bahari ya hindi jijini Dar. Je unaweza kumtambua mwakilishi...
Soma Zaidi..

Wazambi kuwakilisha kamati ya Miss Tabora katika semina ya Miss Tanzania

Nassor Wazambi Mjumbe wa kamati ya Miss Tabora Bw Nassor Wazambi ameteuliwa kuhudhuria semina ya mawakala wa Miss Tanzania itakayofanyika nje kidogo ya jiji la Dar katika hoteli ya kitalli ya Girraffe Hotel iliyopo kando kando ya...
Soma Zaidi..