Promota wa Lennox Lewis aamua kuwa mwanamke!
Frank Maloney akishangilia ushindi wa Lenox Lewis |
Frank Maloney(61) promota maarufu wa ndondi wa zamani ambaye amewahi kuwa promota wa bingwa wa zamani wa uzito wa Juu Lennox Lewis ameamua kujibadili kuwa mwanamke na Kujiita Kellie. Kwa kauli yake Maloney alisema "Nimekuwa nikijisikia hivi tangu utotoni mwangu, hatimaye nimechoka kuishi kivulini. Pia alieileza ugumu ulikuwa ni kumfahamisha mkewe anachotaka kufanya, pia ameeleza atafanya operesheni ya badiliko la kijinsia, na kuwa hafanyi hayo ili awe na mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote bali ndivyo alivyokuwa akijisikia awe kwa miaka yote.
Maloney anavyoonekana sasa akiwa kama Kellie. |
Ajuza Kellie akiweka pozi |
Picha na habari kwa hisani ya mailonline na sunday mirror
Over pass yaporomoka na kuua watu wawili Brazil!
Barabara mpya ya juu (over pass) iliyokuwa ikijengwa mjini Belo Horizonte nchini Brazil iliporomoka jana (Alhamisi) na kuanguakia malori matatu, gari dogo na basi la kusafirishia abiria na kusababisha vifo vya watu wawili na majeruhi 19. Hata hivyo maafisa wa uokoaji wameeleza kuna nafasi kubwa ya miili mingine kupatikana chini ya barabara hiyo. Barabara hiyo ilijengwa ili kupunguza msongamano katika kipindi hiki cha world cup nchini Brazil ambapo mjini Belo Horizonte ambapo pana uwanja wa Mineirao ambao utatumika kwa mchezo wa nusu fainali siku ya jumanne katika mfululizo wa fainali za kombe la dunia 2014.
Kwa juu inaonekana over pass hiyo ikiwa imelala ardhini baada ya kuporomoka |
Basi lililoangukiwa na barabara ambamo dereva wake ni mmoja wa watu wawili waliokufa papo hapo hapo jana. |
Gari dogo lililoangukiwa na over pass mijini Belo Horizonte, nchini Brazil. |
Malori mawili yanaonekana kubanwa na over pass hiyo huku waokoaji wakishauriana |
Uwanja wa Mineirao utakaochezewa mchezo nusu fainali mjini Belo Horizonte uliopo Km 3 toka eneo la ajali. Picha kwa hisani ya AFP/ habari na mirror online |
HAWA NDIYO WAREMBO WA REDDS MISS KANDA YA KATI 2014 [DODOMA]
Washindi watatu bora wa mashindano ya REDDS MISS KANDA YA KATI 2014, Mshindi akiwa ni Dorice Mole (katikati) akitokea mkoa wa singida, wa pili ni Zenna Motte (kushoto) akitokea Tabora katika Chuo Kikuu cha SAUT-TABORA na wa tatu ni Adelaide (kushoto). Warembo hao wakifurahia ushindi huo usiku wa tarehe 20 Juni, 2014
Vazi la ubunifu Miss Dar Indian Ocean
Vazi hili lilitia fora katika mavazi yote ya ubunifu |
Miss Shamila
Warembo wa Miss Dar Indian Ocean wakionesha vazi la ubunifu siku ya kilele cha shindano hilo
|
Miss Sophia |
Miss Mary Shila |
Miss Mary Shila |
Miss Monica Nshimba |
Miss Sasha Deogratius(Talent winner) |
Miss Janeth Geophrey |
Miss Hasnat Hussein |
Opening show ya Miss Dar Miss Indian Ocean ilivyoenda!
Washiriki wa Miss Dar Indian Ocean wakicheza mziki wa kufungulia shindano |
Mshiriki Miss Mary Shila alitia fora kwa uchezaji wake mziki kwa umahiri. |
Suzannah Sawaya akinengua |
Miss Camilla John |
Mariam Salum akicheza opening show |
Tunajimwaga |
Mc Jose ambaye pia ndiye alifundisha warembo kucheza opening show. |
Camilla John aibuka mshindi Redds Miss Dar Indian Ocean!
Miss Camilla John ndiye Redds Miss Dar Indian Ocean |
Top 3, Miss Dar Indian Ocean Camilla John akiwa na Mary Shila kulia na Getrude Massawe |
Top 5, toka kushoto Marim Salum, Mary Shila, Camilla John, Getrude Massawe na Hasnat Hussein |
Muandaaji wa Redds Miss Dar Indian Ocean Bibi Rahma Yusuph na mgeni rasmi Mh Abass Tarimba |
Mkuu wa itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Bw Albert Makoye akimkaribisha mgeni rasmi Bw Abass Tarimba afungue hafla rasmi. |
Bw Abass Tarimba(MGENI RASMI) mkurugenzi wa Bahati nasibu ya taifa |
Boy George akiwa na mdhamini CXC Africa Bw Charles Hamka wakijadili jambo fulani jana. |
Majaji wa Miss Dar Indian Ocean wakifuatilia mwenendo wa shiondano hilo jana |
Majaji wakitazama kwa makini moja washiriki akipita jukwaani toka kushoto Innocent Melleck, James Kissaka na Hassan Ally. |
Leo ndio leo Malkia wa Miss Dar Indian Ocean kupatikana leo!
Warembo wa Miss Dar Indian Ocean jana walitembelea Club Billicanas kujinadi kwa mara ya mwisho ambapo leo watachuana vikali kuwania taji la Miss Dar Indian Ocean. Shindano hilo litafanyika leo usiku kuanzia saa 2 katika viwanja vya Nyumbani lounge ambapo viingilio kwa viti vya kawaida ni Tsh 10,000/= na zile za VIP zikipatikana kwa Tsh 30,000/=. Shindano hilo limedhaminiwa Konyagi kupitia kinywaji chake cha Zanzi, CXC Africa, Tsn Super market, Redds Original,TBC, Channel 10, Blog ya wananchi, Nyumbani Lounge. Chini ni picha za baadhi ya warembo wa shindano hilo.
Msaidizi wa Matron wa warembo Miss Baby James |
Mjumbe wa kamati ya Miss Dar Indian Bw Khalid Mkwabi aka Dudu (Kushoto) akiwakaribisha mashabiki wa urembo katika show ya leo. Kulia ni Miss Baby James |
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)