Msani machachari Ally Baucha ambaye kupitia wimbo wake Kelele aliomshirikisha Ally Kiba ameteuliwa kushiriki katika kinyang'anyro cha kugombea tuzo za Msanii anayechipukia ambapo amepewa namba 23 na vile vile amepewa namba 26 katika kugombea tuzo ya msanii bora mtumbuizaji wa kiume. Ili kumpigia kura Baucha fuata maelekezo hapo juu.