Lakini msemaji wa gazeti hilo Wasington Post Bw Kriss Coratti alipoulizwa juu ya habari hiyo akasema hana habari yeyote juu ya hilo ila akaongeza Rais Obama na mkewe wamekuwa na matatizo hivi karibuni, "Lakini sijui zaidi ya hapo"
Baada ya yote hayo Paschal Rostain sasa ameeleza kuwa hajawahi kusema kitu chochote ya Rais Obama na mkewe.
Beyonce kupitia msemaji wake alikanusha madai hayo na kusema "Ni kichekesho". Hata hivyo inafahamika kuwa familia ya Obama ni rafiki na familia ya Beyonce Knowles ambapo Beyonce aliimba siku ya kuapishwa Barack Obama na vile vile aliimba katika maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Michelle Obama kutimiza miaka 50.
Ahsante sana kwa wimbo mzuri. Obama akimshukuru Beyonce siku ya kuapishwa kwake. |
Siku ya kuapishwa Obama |
Happily married; Beyonce na mumewe Jay-Z |