Michael Carrick Pass master! |
Kana kwamba haikutosha Lineker kushangazwa naye Dietmar Hamman aliyekuwa kiungo wa Liverpool na Man City kupitia mtandao huo huo naye ali tweet Hamann naye alishangazwa na kukosekana Carrick katika kikosi cha England jana, katika hali ya kushangaza zaidi hata Roy Hodgson alipoamua kumpumzisha Jack Wilshere na kuamua kumuingiza Ashley Young ambaye si kiungop wa kati wakati Carrick alikuwepo benchini na England ilimuhitaji kwa kushindwa kumiliki mpira. Hata hivyo England ilifanikiwa kutoka sare na hivyo kuendelea kuongoza kundi H kwa pointi 16.