Washindi watatu bora wa mashindano ya REDDS MISS KANDA YA KATI 2014, Mshindi akiwa ni Dorice Mole (katikati) akitokea mkoa wa singida, wa pili ni Zenna Motte (kushoto) akitokea Tabora katika Chuo Kikuu cha SAUT-TABORA na wa tatu ni Adelaide (kushoto). Warembo hao wakifurahia ushindi huo usiku wa tarehe 20 Juni, 2014
Happiness Watimanywa, Miss kanda ya kati na Miss Tanzania 2013/14 akikabidhi taji kwa mshindi kanda ya kati Dorice Mole kwa mwaka 2014/15 mjini Dodoma
Washindi wakikabidhiwa zawadi na mgrni rasmi
Happiness (Miss Tanzania 2013) akiongea jambo
Dorice Mole (Mshindi Miss Kanda ya kati)
Zenna Motte (Mshindi wa pili miss kanda ya kati)
Tano bora
Onesho la Kipaji.
Onesho la Kipaji.
Onesho la Kipaji.
Huyu ndiye mshindi wa kipaji si mwingine ni Zenna Mote akiwa katika Onesho la Kipaji.
Wakishangaa namna mrembo akimwaga kwa kipaji chake
Shidaaaa
Ni gumzo
Miss Lencer Onesho la Kipaji.
Miss Elizabeth
Ndg, Hasheem Lundenga na team yake ya Miss Tanzania
Miss Sabrina Juma, Mshindi wa pili Tabora 2013
PICHA ZOTE NA MKALA MATUKIO.