Breaking news! Mwanamuziki wa Taarabu Nyawana Fundikira afariki dunia mchana huu!
Mama Nyawana enzi za uhai wake |
Picha kwa hisani ya taarabuzetublog!
Duniani kuna mambo!
Josh Hughes na Shelley Davie wakifunga pingu za maisha uchi.
BOB JUNIOR KUZINDUA WIMBO MPYA "BASHASHA" KAMSHIRIKISHA VANESSA MDEE
NYIMBO MPYA AMBAYO INAAMINIKA KUWA NI NZURI ZAIDI YA ULIZOWAHI KUZISIKIA ITAKWENDA KWA JINA LA "BASHASHA"
MWANADADA MKALI VANESSA MDEE NAYE NDANI KASHIRIKISHWA KWENYE NYIMBO HIYO KALI UTAKAYOPATA KUISIKILIZA BAADA YA UZINDUZI WAKE.
SASA ISHU KUBWA NI UZINDUZI WA SINGLE HIYO HAPO TAREHE 27 OKTOBA 2013 JUMAPILI NDANI YA "ClubBilicanas".
********
WASANII KIBAO KUTUA HAPO NI HAWA WAFUATAO:
BOB JUNIOR NA VANESSA MDEE
QUEEN DARLEEN
SAMIR
CHID BENZ
CYRIL
MIRROR
LINEX
BONGE LA NYAU
**********
COMEDY : KUTANA NA MASAI NYOTA MBOFU
TAG: 6,000/=
"MR CHOCOLATE AMEUTHIBITISHIA MTANDAO WA www.aloyson.com KUWA BASHASHA ZILIZOTIWA HUMO LAZIMA ZIWE CHAKULA BORA CHA MASIKIO YAKO KWA KUSUDI LA KUBORESHA MAPENZI YATAKAYOSTAHIKI KUTIWA MABASHASHI YA AINA YAKE..."
ENDELEA KUTEMBELEA MTANDAO HUU KUUPATA WIMBO HUO KUANZIA TAR 27.10.2013
Nikon Hd SLR camera inauzwa!
Kwa mbele D90 inavyoonekana |
Kwa nyuma ambako pana settings zote For more details please call 0754 666 620 |
Valencia ndiye mchezaji mwenye kasi kuliko wote duniani!
Nyota wa Arsenal Theo Walcot amekuwa akifikiriwa ndiye mcheza soka mwenye kasi kuliko wote duniani, lakini imebainishwa kuwa kiungo wa timu ya Man United Antonio Valencia ametajwa na FIFA kuwa ndiye mcheza soka mwenye kasi kuliko wote ulimwenguni, inasadikika kuwa kiungo huyo anakadiriwa kufikia mwendo kasi wa kilometa 22 kwa saa. Na orodha ya wachezaji na kasi ni kama ifuatavyo hapo chini.
1. Antonio Valencia km 22 (kwa saa) Man united
2. Gareth Bale km 21.56 (kwa saa) Real Madrid
Orodha hiyo pia imeonesha kuwa Aaron Lenon wa Totenham Hotspurs anashika nafasi ya tatu na ya nne imechukuliwa na Christiano Ronaldo huku Lionel Messi akiangukia nafasi ya sita.
Habari na picha kwa hisani ya mtandao wa the express
1. Antonio Valencia km 22 (kwa saa) Man united
2. Gareth Bale km 21.56 (kwa saa) Real Madrid
Orodha hiyo pia imeonesha kuwa Aaron Lenon wa Totenham Hotspurs anashika nafasi ya tatu na ya nne imechukuliwa na Christiano Ronaldo huku Lionel Messi akiangukia nafasi ya sita.
Habari na picha kwa hisani ya mtandao wa the express
BOB JUNIOR | MASAI NYOTAMBOFU | SAMIR NA MASELE CHA POMBE KUBURUDISHA SIKUKUU YA EID EL HAJ TABORA
Bob junior aka Mr Chocolate Flavor |
BOB JUNIOR | MR CHOCOLATE | RAIS WA MASHAROBARO | MTAALAMU WA VIOUNO
NI MSANII NA PRODUCER ANAYETAMBA NA VIBAO KAMA KIMBIJI, ANDAZI NA NYINGINE NYINGI, KWA MARA YA KWANZA ATADONDOSHA BONGE MOJA LA SHOO SIKU YA EID EL HAJ NDANI YA UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI KWA KIINGILIO CHA 3000 WAKUBWA NA 1000 WATOTO, KUANZIA SAA 8 MCHANA NA USIKU ITAKUWA KATIKA UKUMBI WA THEOFILO KISANJI UNIVERSITY (TEKU) KWA SH 5,000/= NA SH 10,000/= TU KWA V.I.P | NI TAREHE 15 OKTOBA, 2013
MASAI NYOTAMBOFU MWANAMZIKI NA MSANII WA VICHEKESHO ANAYETAMBA KATIKA VITUKO SHOO YA CHANEL TEN, ATACHEKESHA NA KUIMBA NYIMBO ZAKE MBILI, HAPATATOSHA SIKU HIYO
KUTANA NA MASELE CHA POMBE | MCHEKESHAJI MAHIRI WA VIYUKO SHOO, NJOO KUTANA NA SWAGA ZA KULEWA BILA KUNYWA LIVE KATIKA MAJUKWAA MAWILI MCHANA NDANI YA ALLY HASSAN MWINYI KWA KIINGILIO CHA SH 3,000/= WAKUBWA NA 1000/= WATOTO MA USIKU NDANI YA UKUMBI WA TEKU (DIAMOND TALKIES) KWA SH 5000/= NA 10,000/= V.I.P
NA SAMIR KUHAMISHIA BAHARI YAKE NA MCHEZO WA KINYULINYULI NDANI YA ARDHI YA WANYAMWEZI.
------------
SHOO INAENDA KWA UDHAMINI WA GONALA PHAMACY | FRANKMAN PALACE HOTEL | NBS CLASSIC (KAMPUNI YA USAFIRI) | CLOUDS FM NA CG FM 89.5
-------------
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)