Historia yajirudia Miss Kanda ya Kati 2013
Maua Kimambo Karlstrom Miss Tabora namba mbili 2011. |
Miss Tabora namba mbili Sabrina Juma. |
Top five. |
Miss Tabora 2013 Anastazia Donald. |
Delilah Patrick, Miss Tabora namba tatu mwaka 2011 |
Washiriki wa Miss Tabora walipotembelea mabaki ya ngome ya Mtemi Isikie mwana Kiyungi!
Mzee Kibisuka Kasuka Said Fundikira ndiye aliyetoa maelezo kwa warembo wa Redds Miss Tabora 2013 juu ya ngome hiyo |
Mzee Kibhisuka akiwahadithia wrembo jambo fulani. |
Warembo wakimsikiliza kwa makini. |
Hapa wakitazama ulipo mlima baada ya kuambiwa kitu juu ya mlima huo. |
Hapa wakitoka eneo ilipo ngome ya Isyunula. |
Mrembo Kurwa akiuliza swali la mwisho kwa mwenyeji wao! |
Warembo wa Redds Miss Tabora 2013 waenda kuzuru tembe la Dr Livingstone
Mzee Hamisi |
Bango hili linaonesha tarehe, siku na mwaka aliopita Livingstone |
Mrembo Cornencia akijitwisha kibuyu |
Mrembo Faidha Hamis akijaribu mkufu uliotengenezwa kwa simbi. |
Hapa wakimsikiliza Mzee Hamisi |
Mrembo Sabrina Juma |
TABASAMU |
Cornencia akihojiwa na TBC |
Pili Issa (Matron) kushoto akimshikia Mic, Cornencia. aliyekuwa akihojiwa na Nidudu Iddy wa Clouds Tv |
Anastazia akihojiwa na clouds Tv |
Mazoezi ya Redds Miss Tabora 2013 yaendelea!
Redds Miss Tabora 2013" Ni zaidi ya urembo" |
Mazoezi ya shindano la kumsaka mrembo wa Redds Miss Tabora 2013 yameendelea tena jana ambapo jumla ya warembo kumi na mbili watashindania taji la Redds Miss Tabora 2013, shindano lililopangwa kufanyika tarehe 31. 05 2013 katika ukumbi wa Frankman Palace. Mgeni wa heshima anatarajiwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh Fa.tma Mwassa. Viingilio vitakuwa sh elfu 10 kwa viti vya kawaida na sh elfu 20 kwa VIP. Msanii Ommy Dimpoz ndiye atakayenogesha shindano hilo huku Mc atakuwa Bambo Dickson wa ze comedy ya EATV.
Faidha na Sabrina |
Anna akipozi |
Cat walk]Warembo Grace Felix Chiku Ramadhani na Anna. |
Rehema Maginga |
Adam Fundikira alinibebesha mkoba wa kaseti-Hamisi Dakota
Hamisi Dakota |
Awali Dakota aliwaita jukwaani Mkala Fundikira na Adam Fundikira na kusema "Nimewaita hawa hapa jukwaani kwa kuwa hawa wanatoka katika familia ya ki chifu ya Fundikira ambayo ndio ilikuwa mtawala wa mkoa huu kabla ya uhuru ingawa palikuwa na utawala wa kikoloni kama wasimamizi, hivyo nimewaita kwa heshima kwani usipowaheshimu watemi(Machifu) unaweza ukashitukia vyombo vinaungua bila ya sababu za msingi. Aliwahi kuja Totoo Ze Bingwa akaunguza vyombo hapa Tabora, ni vema tunapoenda katika miji ya watu tupige hodi" Dakota aliyesema hayo usiku wa alhamisi ya tarehe 2 April2013 ambapo bendi ya Mapacha watatu ilitumbuiza katika ukumbi wa Frankman Palace.
Dakota akisistiza jambo. |
Adfun Smiler na Mratibu wa Miss Tabora 2013 |
Mkala Fundikira na Hamisi Dakota |
Warembo wa Redds Miss Tabora 2013 wakijfua vikali
Najifua mpaka kieleweke |
Nina asili ya Tabora! - Ommy Dimpoz!
Msanii anayekuja juu kwa kasi kama moshi wa kifuu Ommy Dimpoz ambaye hivi juzi alihojiwa na kituo maarufu cha redio mkoani Tabora CG fm 89.5, alisema pamoja na kuimba katika wimbo wa wasanii wa Kigoma lakini yeye pia ana asili ya Tabora kwa kuwa Mama yake mzazi aliziliwa na kukulia hapa kabla ya kuhamia Dar, na pia aliweka wazi kuwa baba yake ndio mtu wa Kigoma. Ommy Aliyekuwa akihojiwa na Ibrahim Haruna na DJ Kessy wa CGfm 89.5 ambao ni wadhamini wa Redds Misss Tabora 2013.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)