MAMAA NYAWANA AMEPUMZISHWA KATIKA MAKAZI YAKE YA MILELE KATIKA MAKABURI YA ITETEMYA HAPA MKOANI TABORA, NJE KIDOGO NA MJI
MAZISHI YAMECHELEWESHWA KUTOKANA NA KUCHELEWA KUWASILI KWA MWILI HUO WA MAREHEMU
MATUKIO MENGINE YATAKUJIA HIVI PUNDE ZIKIWEMO BAADHI YA VIDEO ZIKIONESHA NAMNA UMATI WA WATU WALIOKUWEPO NA FOLENI YA NJIANI WATU WAKITANDA ILI KUSHUHUDIA SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU
*MUNGU AILAZE MAHALI PEMA ROHO YA MAREHEMU*
PICHA NA www.aloyson.com na mkalamatukio.blogspot.com
*MUNGU AILAZE MAHALI PEMA ROHO YA MAREHEMU*
PICHA NA www.aloyson.com na mkalamatukio.blogspot.com