Hali hii ingeweza kujitokeza katika scene za filamu za kutisha kama ile maarufu ALIEN.Lakini mama mtarajiwa Karen McMartin na mumewe David walipigwa butwaa pale sura ya binadamu mtu mzima kujionesha katika tumbo la mja mzito huyo ndipo wakaamua kuipiga picha.