Wana jumuiya ya Kinondoni kuteua viongozi baada ya mfungo wa Ramadhani!
Wanajumuiya wa kikundi cha Kinondoni wakibadilishana mawazo baada ya mazishi ya marehemu George Nganda
Mratibu wa kikundi cha wana Kinondoni Bw Ivan Minja amesema kikundi hicho kitateua vingozi wa muda katika kikao kitakachofanyika jijini Dar es Salaam baada ya mfungo wa Ramadhan, kikao hicho kitakachoteua uongozi wa muda wakati kitafanyika siku ya Jumapili ya tarehe 26/7/2015 pale Mango Garden Kinondoni Vijana kuanzia saa 10 za jioni. Akielezea ajenda kuhusuku kikao jicho Minja alisema ajenda kuu itakuwa kwanza kuteua viongozo wa muda kisha wajumbe wote wataijadili rasimu ya katiba yao ambayo imetungwa na Bw Yahya Pori ambaye ni mwanachama katika jumuiya hiyo. Jumuiya ambayo imeanzishwa kwa dhumuni kuu la kusaidiana katika dhiki na faraja inaundwa na wakazi nawalikuwa wakazi wa maeneo ya kinondoni na si wilaya ya Kinondoni.
Vidole viwili, maana yake nini Jamila Kaimika? |
Ivan Minja (Mratibu) Anna Dada na Esther Shayo. Aliyesimama ni Goodsense. |
Toka kushoto Esther, Mkala Fundikira(Mratibu) Evelyn Minja na Emmy Stephen. |
Picha ya pamoja |
Vijana wa Kino Group wakiwa katika pose! Picha na Abdul Kazembe |
Picha mbali mbali katika mazishi ya George Nganda!
Toka kushoto ni Dada July Kitundu, Dada Rita na Mama Desouza |
Majonzi yatawala makaburini! |
Kamanda wa CCM tawi la Kinondoni Bwawani Bw Steve Nyerere kulia akiwa na wadau wengine |
Msanii Hard Mad naye alihudhuria mazishi |
Wadau wa Pazi club |
Issa Mndeme na Mratibu wa Kundi la wana Kinondoni Ivan Minja wakiweka shada la maua ktk kaburi |
Florah Mwakpesile na Florah Samuel |
Picha na Abdul Kazembe na Mkala Fundikira
Hatimaye George Nganda azikwa na mamia ya watu!
Mama wa marehemu(mwenye nguo nyeupe) |
Akizungumzia jumuiya yao ya wana Kinondoni mjumbe Abdul Kazembe alisema "Jumuiya imefarijika kuchangia mazihi ya mwenzetu aliyetutoka ghafla lakini huu ni mwanzo tu jumuiya inajipanga kufanya makubwa zaidi, tukianzia katika kikao cha wanajumuiya wote mara baada ya kuhitimishwa kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo tutakutana pale mango garden siku ya jumapili tarehe 26/7/2015 kuanzia saa 10 jioni ili kuteua viongozi wa muda na kisha kuijadili rasimu ya katiba ya jumuiya yetu ambayo iliratibiwa na mwanajumuiya Yahaya Pori"
Jumuiya hiyo ambayo pia inajiendesha kupitia mitandao ya Facebook na Telegram ambapo wanajumuiya wamejiunga na kujadili mambo yanayoihusu Jumuiya tu. Pia jumuiya inatarajia kufungua akaunti ya benki ili kujiendesha kiufasaha zaidi.
Baadhi ya wanajumuiya wakiwa makaburini kumzika rafiki yao George Nganda. |
Msanii wa vichekesho Steve Nyerere na mdau Riziki Nyoni wakifuatilia mazishi |
Majonzi yalitawala! |
Mc wa shughuli ya mazishi akiongea jambo |
Wanajumuiya wa KINONDONI wakipiga picha ya mwisho katika kaburi la mpendwa wao George Nganda |
Toka kulia Issa Mndeme, Evelyin Minja, Emmy Stephen |
Toka kulia ni Issa Mndeme, Abdula Kazembe na Yohabu Chikwanda.
Kapumzike kwa amani George! |
Picha na habari na Mkala Fundikira
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)