Hali ya hewa ilivyotesa Huko kaskazini mashariki mwa Marekani wikiendi iliyopita!
Gari dogo likiwa imeacha barabara baada ya theluji nyingi kudondoka na kupelekea dereva wa gari hilo kupoteza mwelekeo na kutumbukia pembezoni mwa barabara(Free way) |
Wikiendi iliyopita ilikuwa ni ya heka heka kubwa katika miji iliyo Kaskakazini mashariki mwa nchi ya Marekani ambapo barabara nyingi zilipitka ama kwa taabu au kutopitika kabisa katika majimbo ya Pennsylyvania na New Jersey ambapo pia imeelezwa kulikuwa na uchelewesho katika usafiri wa anga ambapo baadhi ya wasafiri walishindwa kuelekea waendako kwa takribani masaa matano hivi. Hata hivyo hali ilielekea kurudi katika ukawaida wake kuanzia j3 kwa maeneo ya Philadelphia na kwingineko.
Watoto nao walipata muda wa kuchezea snow |
Misururur mikubwa ya magari ilionekana maeneo mengi huko America wikiendi iliyopita |
Hata mitaani pia hapakusamehwa na hali mbaya ya hewa |
Ramani hii ilionesha maeneo yaliyoathirika zaidi. |
Shujaa wangu Nelson Mandela!
Nelson Rolihlala Mandela, the man must have come from another planet, after his release from Roben Island prison, he suprised the whole world for urging fellow black South Africans to forgive and forget for all the oppression they suffered from the hands of white South Africans who thought they were first class citizens and superior to all other races in the country. At the end justice prevailed!
I will always remember Nelson Rolihlala Mandela as my hero,selfless leader and a true legend! Rest in peace Madiba your legacy will live on!
Roy Keane amshambulia vikali Ferguson!
Nyakati za furaha:Sir Alex na nahodha wa zamani wa Man united Roy Keane wakibeba juu moja ya makombe ya EPL waliyoyashinda pamoja |
Alex Ferguson, ameelezwa na Roy Keane kuwa ni mwenye kupenda nguvu na kutawala. |
Arsene Wenger/Alex Ferguson na David Moyes waenda Xmas shopping pamoja!
Huyu bwana kushoto mwa picha anajiuliza ninaowaona ndio wenyewe ama? |
Je inaweza ikawa kweli, kuwa Arsene Wenger, David Moyes na Sir Alex Ferguson wakaenda shopping pamoja?
Jana waenda shopping ya Christmas nchini Uingereza waliweza kujikuta wakipigana vikumbo na sura maarufu kama Kocha wa zamani wa Man united Sir Alex Ferguson, Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger na Kocha mpya wa Man united David Moyes lakini kumbe hao wote hawakuwa wao halisi bali ni watu wanaofanana nao tu, ingawa watu kadhaa walistushwa na uwepo wa watatu hao wakifikiri ni wenyewe, pia mamia ya waenda shopping walipiga picha watu hao. Wazo hilo lilitolewa na National Football Museum ambao walitaka kunogesha sherehe za Christmas nchini Uingereza(Uk)
Come on ref what is that? |
Mpiga mbizi shujaa amkaribia Papa!
Wapiga mbizi Vincent Canabal na Daniel Botelho walihatarisha maisha yao ili kumkaribia papa hatari katika pwani ya visiwa vya Bahama huko Marekani katika fukwe za Tiger ambapo Vincent alikuwa akimlisha chakula cha mbwa, papa huyo mwenye urefu wa futi 16 alivutiwa na chakula hicho ndipo akawa mtulivu.
Vincent akimlisha papa chakula cha mbwa. |
Tom Daley asema yeye ni shoga!
Tom Daley(20)akionesha medali yake |
Tom Daley Akiwa mchezoni |
kuangukia katika penzi la mcheza sinema Dustin Lance Black ambaye ni muasisi wa chama cha kutetea haki cha American Foundation for Equal Rights ambacho kimekuwa mstari wa mbele kutetea ushoga na haki zake.
Dustin Lance Black(40) ndiye sugar daddy wa wa Kijana mtanashati Tom Daley. |
Elton John na kidosho wake David Furnish |
Habari na picha kwa hisani ya mirroronline
Mfanyakazi wa SWISSPORT Dar es Salaam afariki ghafla!
Salustian Boniface Clement alizaliwa 07/4/1962 na kufariki 29/11/2013. |
Familia ya Salustian inasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Bw Salustian Clement kilichotokea ghafla siku ya Ijumaa jijini Dar es Salaam. Taarifa za msiba huu ziwafikie Familia ya Oswald Ndibalema waliopo England na popote pengine walipo, familia ya Lwakatere popote walipo pamoja na ndugu na jamaa wote wa marehemu. Marehemu Salustian ambaye alikuwa akifanya kazi katika kampuni ya SWISSPORT ameacha mke na watoto watatu. Mwili wake unatarajiwa kusafirishwa leo kwenda mjini Bukoba yatakayofanyika kesho mchana mjini hapo.
Habari na picha kwa hisani ya Edgar Oswald
Mwili wa Marehemu ulipokuwa ukisafishwa kwenda Airport. |
Hapa ni kanisa Katoliki la Chang'ombe jijini Dar ambapo mwili wa marehemu uliagwa.Mungu ailaze roho yake pema peponi Ameen! |
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)