Utamliliaje mtu leo, kesho umtukane?
OMMY Dimpoz akilia jukwaani baada ya kulemewa na majonzi ya kifo cha Ngwair tarehe 31/05/2013 Tabora. |
Totenham wawastaajabisha Real Madrid kwa dau la kumuuza Gareth Bale!
Gazeti la michezo lenye ukaribu na kilabu cha Real Madrid leo hii limedai kuwa Mwenyekiti wa Totenham Hotspurs ya jijini London, Uingereza Bw Daniel Levy amewapa bei ya kumnunua mshambuliaji Gareth Bale kuwa ni Euro145 Milioni au kwa maneno mengine ni Pauni 125 Milioni ya Malkia wa Uingereza. Bei hiyo imewastua sana Madrid kwani hawakutegemea kabisa Bw Levy anaefahamika vema kutoa bei zisizoendana na uhalisia ambapo awali aliwasumbua sana Man United kuwanunua Michael Carrick na Dimitar Bernatov. Bei hiyo pia imelistua sana gazeti la Marca ambalo limetoa kichwa cha habari UNA LOCURA ikiwa na maana Crazy au "wazimu"
Wakati huo huo ripoti toka Spain katika gazeti la Marca zimeeleza kuwa Daniel Levy ameshapokea ofa ya Pauni 85 milioni toka klabu ya PSG ya ufaransa inayomilikiwa na matajiri wa kiarabu. Pia taarifa hiyo ilisema katika ofa zote Muhimu ni ile iliyotolewa na klabu ya Manchester United ya England ingawa chanzo hicho hakikueleza ni kiasi gani Man United wameofa kwa klabu hiyo yenye makazi yake kaskazini mwa jiji la London.
Twanga yazindua albam ya 12 na kuadhimisha miaka 15 ya kuzaliwa!
Dansa Mandela akifanya yake jukwaani. |
Rapa Diof na Dogo Rama wakiwasha moto |
Vipaji vingi; Kalala Junior akiimba moja ya nyimbo wlizozindua jana. |
Saleh Kupaza akpaaza sauti yake jukwaaani |
Na Hadija Kalili wa Bongo weekend Blog |
Mope akiwa na shabiki mtasha wa Twanga |
Hadija na Matinda |
Hapo sasa hapo......... |
AMigo Las Baba naa Sofii |
Kiongozi wa bendi Mamaa Luiza Mbutu aki pose! |
Historia yajirudia Miss Kanda ya Kati 2013
Maua Kimambo Karlstrom Miss Tabora namba mbili 2011. |
Miss Tabora namba mbili Sabrina Juma. |
Top five. |
Miss Tabora 2013 Anastazia Donald. |
Delilah Patrick, Miss Tabora namba tatu mwaka 2011 |
Washiriki wa Miss Tabora walipotembelea mabaki ya ngome ya Mtemi Isikie mwana Kiyungi!
Mzee Kibisuka Kasuka Said Fundikira ndiye aliyetoa maelezo kwa warembo wa Redds Miss Tabora 2013 juu ya ngome hiyo |
Mzee Kibhisuka akiwahadithia wrembo jambo fulani. |
Warembo wakimsikiliza kwa makini. |
Hapa wakitazama ulipo mlima baada ya kuambiwa kitu juu ya mlima huo. |
Hapa wakitoka eneo ilipo ngome ya Isyunula. |
Mrembo Kurwa akiuliza swali la mwisho kwa mwenyeji wao! |
Warembo wa Redds Miss Tabora 2013 waenda kuzuru tembe la Dr Livingstone
Mzee Hamisi |
Bango hili linaonesha tarehe, siku na mwaka aliopita Livingstone |
Mrembo Cornencia akijitwisha kibuyu |
Mrembo Faidha Hamis akijaribu mkufu uliotengenezwa kwa simbi. |
Hapa wakimsikiliza Mzee Hamisi |
Mrembo Sabrina Juma |
TABASAMU |
Cornencia akihojiwa na TBC |
Pili Issa (Matron) kushoto akimshikia Mic, Cornencia. aliyekuwa akihojiwa na Nidudu Iddy wa Clouds Tv |
Anastazia akihojiwa na clouds Tv |
Mazoezi ya Redds Miss Tabora 2013 yaendelea!
Redds Miss Tabora 2013" Ni zaidi ya urembo" |
Mazoezi ya shindano la kumsaka mrembo wa Redds Miss Tabora 2013 yameendelea tena jana ambapo jumla ya warembo kumi na mbili watashindania taji la Redds Miss Tabora 2013, shindano lililopangwa kufanyika tarehe 31. 05 2013 katika ukumbi wa Frankman Palace. Mgeni wa heshima anatarajiwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Mh Fa.tma Mwassa. Viingilio vitakuwa sh elfu 10 kwa viti vya kawaida na sh elfu 20 kwa VIP. Msanii Ommy Dimpoz ndiye atakayenogesha shindano hilo huku Mc atakuwa Bambo Dickson wa ze comedy ya EATV.
Faidha na Sabrina |
Anna akipozi |
Cat walk]Warembo Grace Felix Chiku Ramadhani na Anna. |
Rehema Maginga |
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)