mkalamatukio

Mwaka 2012!

Waremboz!

Unaweza kumtambua Nassor Wazambi katika picha hii?

Mawakala wa Miss Tanzania katika semina wiki iliyopita
Picha hii ilichukuliwa siku ya semina ya mawakala wa Miss Tanzania, iliyofanyika katika hoteli ya Girraffe pembezoni mwa bahari ya hindi jijini Dar. Je unaweza kumtambua mwakilishi wa Miss Tabora Bw Nassor Wazambi ambaye yupo katika hii?

Wazambi kuwakilisha kamati ya Miss Tabora katika semina ya Miss Tanzania




Nassor Wazambi
Mjumbe wa kamati ya Miss Tabora Bw Nassor Wazambi
ameteuliwa kuhudhuria semina ya mawakala wa Miss Tanzania itakayofanyika nje kidogo ya jiji la Dar katika hoteli ya kitalli ya Girraffe Hotel iliyopo kando kando ya bahari ya Hindi.  

Semina hiyo ni ya kawaida kila mwaka kufanywa na kamati ya Miss Tanzania kwa kushirikiana na mdhamini mkuu kampuni ya bia Tanzania TBL kupitia kinywaji chake cha Redds Premium cold. Shindano la Miss Tabora linatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Mei, kamati ya Miss Tabora imeahidi kuwaandalia wakazi wa Tabora onesho kabambe ambalo halijawahi fanyika tangu Miss Tabora ianze.

Semina itafanyikia katika ukumbi huu.

Bwawa la kuogelea lipo kwa wakaazi.
 


Picha zaidi za Miss Tabora

Opening show

PILI

MERINA DUGO

MWAJUMA

KOROBATIKI ZATUNI

DALILAH

CECILIA

FLORA MICHAEL

MAUA KIMAMBO

BEKA KAZINI

MISS TABORA NA MAUA KIMAMBO

KOROBATIKI ZAITUNI PETER

Washindi watatu watakaoiwakilisha Tabora katika shindano la kanda ya kati


MAUA KIMAMBO-Musoma utalli college


DALILAH GHARIB- Chuo cha utumishi wa Umma

Toka kushoto Florah, Maua, Cecilia na Dalilah Gharib katika vazi la ufukweni.

Vazi la ufukweni

HELLEN JOHN

DALILAH GHARIB

CECILIA JOHN

MAUA KIMAMBO

FLORA JOHN

Miss Tabora hatua kwa hatua mshiriki baada ya mshiriki, the enjoy pictures

Pili vazi la ubunifu

Merina Duga vazi la ubunifu

Mwajuma vazi la ubunifu

Zaituni Peter vazi la ubunifu

Dalilah Gharib vazi la ubunifu.

Cecilia John vazi la jioni.

Maua Kimambo vazi la ubunifu

Flora John vazi la uvubunifu.


Mdau wa urembo akiiimba na Msanii Nash Dezigner.