Warembo wa Redds Miss Tabora 2013 wakijfua vikali
Najifua mpaka kieleweke |
Nina asili ya Tabora! - Ommy Dimpoz!
Msanii anayekuja juu kwa kasi kama moshi wa kifuu Ommy Dimpoz ambaye hivi juzi alihojiwa na kituo maarufu cha redio mkoani Tabora CG fm 89.5, alisema pamoja na kuimba katika wimbo wa wasanii wa Kigoma lakini yeye pia ana asili ya Tabora kwa kuwa Mama yake mzazi aliziliwa na kukulia hapa kabla ya kuhamia Dar, na pia aliweka wazi kuwa baba yake ndio mtu wa Kigoma. Ommy Aliyekuwa akihojiwa na Ibrahim Haruna na DJ Kessy wa CGfm 89.5 ambao ni wadhamini wa Redds Misss Tabora 2013.
Ommy Dimpoz athibitisha ku perfom Redds Miss Tabora 2013 kwa kusaini mkataba jijini Barcelona, Spain
Tia saini mwanangu Tabora wanakusubiria kwa hamu |
Dimpoz (kwa poz) ambaye kwa karibu miezi mitatu amekuwa katika bara la Ulaya akifanya maonesho katika nchi tofauti zikiwemo England, Holland, Norway, Sweden na nyingi nyingine amethibitisha kuwa ataporomosha show kali mjini Tabora mnamo tarehe 31/05/2013 katika kusindikiza kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa shindano la Redds Miss Tabora 2013. Pichani ni picha kadhaa za Ommy Dimpoz akisaini mkataba wa kufanya onesho hilo kubwa huku akishuhudiwa na mlezi wa kamati ya Miss Tabora 2013 Bw Mgalula Fundikira. Hatua hii itakuwa ni kukidhi matamanio ya muda mrefu ya mashabiki wa Ommy Dimpoz Tabora kumshuhudia msanii wao kipenzi kwa ukaribu zaidi siku hiyo ya tarehe 31/05/2013 ambapo shoka litaungua mpini utabaki!
Ommy akianguka sahihi! |
Ahsante sana: Inaelekea ndicho asemacho Mgalula. |
Ilikuwa balaaaa!
Keyboy na Dj maarufu Ommy Composer |
Kanyaga twende! |
Meneja wa bendi Hamis Dakota akijimwaga na mmoja wa washabiki waliohudhuria onesho hilo |
Mwango aka Benny Ngwasuma akiserebuka na Mariam Zidane |
Hamis Dakota, tena akijiachia na mdada mwenye makeke mengi! |
Sichezi na shemeji: Jose Mara aligoma kucheza na mwanadada ambaye ilidaiwa ni shemeji yake. |
Wadau wakimcheka Jose Mara wa Kimara kwa kugoma kukamatia. |
Baunsa Muddy naye alionja raha ya kukamatia, Duh sijui Muddy alilpata usingizi? |
Duh cheki! Juma Kapipi aduwaa! |
Mbona hujaniimba Khalid? |
Uuuuuuuh! Ngoma inogile! Mikono juu! |
Papaa Biggie na Mariam Zidane waki pozi kwa snap! |
Uzinduzi wa albam Yarabi nafsi! |
Mapacha watatu wazindua albam Tabora!
UZINDUZI; Chokoraa kushoto na Jose Mara wakizindua album mpya katika ukumbi wa Frankman, Tabora. |
Mdau wa mapacha watatu! |
Siku Mapacha watatu walipovamia Tabora!
Bendi machachari ya Mapacha watatu toka jijini Da re Salaam ilifanya onesho kabambe mjini Tabora katika ukumbi wa Frankman Palace usiku wa alhamisi. Bendi hiyo ikiwa china ya mkurugenzi wake Jose Mara(Mzee wa Kimara) na rapa machachari Khalid Chokoraa ilikuwa njiani kueleka Kahama na ambako walifanya onesho siku ya Ijumaa na leo Jumamosi watakuwa jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Bendi ya Mapaha watatu akifanya vitu vyake jukwaani |
Wanenguaji wakimwaga vimbwanga! |
Shughulikaaaa! |
Mariam Zidane akinengua! |
Mikono mbele, twende! |
Washabiki wa Mapacha watatu wakiongozwa na Benny Ngwasuma wakila bata ndefuuuu! |
Msiba Uhazili! Tabora
Marehemu: Mariam Jumanne Tandala |
"Wa Inna llah wa inna illahi Rajiun"
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala
pema peponi.Amen!
Majonzi: Bwana ametoa Bwana ametwaa! |
Wanachuo wakifuatilia dua na maombi yalikuwa yakifanywa ukumbini humo |
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)