Hanifa Fundikira ahitimu uzamili!
Bibi Hanifa Mdemu Fundikira akipozi nje ya Chuo kikuu cha Northampton nchini England baada ya kuhitimu. |
Chozi!
Mjane wa Nelson Mandela Mama Graca Machel akifuta machozi. |
Binti ya Nelsona Mandela, Mandla akiongea machache kabla ya Mazishi ya Madiba |
Umati wa viongozi wa nchi mbali mbali duniani na watu mashuhuri wakihudhria mazishi ya Mandela kijijini kwake Qunu leo hii. |
Wiinie Mandela, Rais Jackob Zumah Mjane wa Nelson Mandela, Mama Graca Machel. |
Kama Mandela hatoenda peponi nani ataenda?
Winnie Mandela na Askofu Desmond Tutu |
Mke wa zamani wa Mandela Winnie Mandela kushoto na mjana wa Mandela Mama Graca Machel wakifuta machozi. |
Msafara wa mwili wa Mandela ukiwasili Qunu jana. |
Kapumzike kwa amani Baba Madiba ndivyo lisemavyo bango hili la baadhi ya waombolezaji |
Msafara ukiwasili Qunu jana |
Hali ya hewa ilivyotesa Huko kaskazini mashariki mwa Marekani wikiendi iliyopita!
Gari dogo likiwa imeacha barabara baada ya theluji nyingi kudondoka na kupelekea dereva wa gari hilo kupoteza mwelekeo na kutumbukia pembezoni mwa barabara(Free way) |
Wikiendi iliyopita ilikuwa ni ya heka heka kubwa katika miji iliyo Kaskakazini mashariki mwa nchi ya Marekani ambapo barabara nyingi zilipitka ama kwa taabu au kutopitika kabisa katika majimbo ya Pennsylyvania na New Jersey ambapo pia imeelezwa kulikuwa na uchelewesho katika usafiri wa anga ambapo baadhi ya wasafiri walishindwa kuelekea waendako kwa takribani masaa matano hivi. Hata hivyo hali ilielekea kurudi katika ukawaida wake kuanzia j3 kwa maeneo ya Philadelphia na kwingineko.
Watoto nao walipata muda wa kuchezea snow |
Misururur mikubwa ya magari ilionekana maeneo mengi huko America wikiendi iliyopita |
Hata mitaani pia hapakusamehwa na hali mbaya ya hewa |
Ramani hii ilionesha maeneo yaliyoathirika zaidi. |
Shujaa wangu Nelson Mandela!
Nelson Rolihlala Mandela, the man must have come from another planet, after his release from Roben Island prison, he suprised the whole world for urging fellow black South Africans to forgive and forget for all the oppression they suffered from the hands of white South Africans who thought they were first class citizens and superior to all other races in the country. At the end justice prevailed!
I will always remember Nelson Rolihlala Mandela as my hero,selfless leader and a true legend! Rest in peace Madiba your legacy will live on!
Roy Keane amshambulia vikali Ferguson!
Nyakati za furaha:Sir Alex na nahodha wa zamani wa Man united Roy Keane wakibeba juu moja ya makombe ya EPL waliyoyashinda pamoja |
Alex Ferguson, ameelezwa na Roy Keane kuwa ni mwenye kupenda nguvu na kutawala. |
Arsene Wenger/Alex Ferguson na David Moyes waenda Xmas shopping pamoja!
Huyu bwana kushoto mwa picha anajiuliza ninaowaona ndio wenyewe ama? |
Je inaweza ikawa kweli, kuwa Arsene Wenger, David Moyes na Sir Alex Ferguson wakaenda shopping pamoja?
Jana waenda shopping ya Christmas nchini Uingereza waliweza kujikuta wakipigana vikumbo na sura maarufu kama Kocha wa zamani wa Man united Sir Alex Ferguson, Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger na Kocha mpya wa Man united David Moyes lakini kumbe hao wote hawakuwa wao halisi bali ni watu wanaofanana nao tu, ingawa watu kadhaa walistushwa na uwepo wa watatu hao wakifikiri ni wenyewe, pia mamia ya waenda shopping walipiga picha watu hao. Wazo hilo lilitolewa na National Football Museum ambao walitaka kunogesha sherehe za Christmas nchini Uingereza(Uk)
Come on ref what is that? |
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)