Dayna amtunza shabiki buku kumi!
Dyna na patna wake wa stejini. |
Kazini. |
Ile ile. |
Hapa Dyna akitoa sh 10,000/= |
Majembe; Dj Kali, msanii Man Fley na Mshabiki wa Bongo Flava wakifuatilia show. |
Msanii Man Fley na Mshabiki wake |
Mmoja wa wamiliki wa klabu ya Royal Adam Fundikira na mkewe Joyce katikati wakifuatili onesho hilo |
Chura Fashion Tabora inatisha ki noma!
Kwa nje Chura Fashion |
Chura
Fashion ni duka la nguo za kike na kiume, viatu na mazaga zaga kibao
mjini Tabora. duka hilo ambalo lina section mbili yaaniya kike na kiume
halina mfano mjini Tabora. Hasa katika kipindihiki weekend inakaribia
nawashauri wale wapenda outing wasipoteze muda kuzunguka sijui Mtaa wa
Salmini au wapi, we fika tu CHURA FASHION ujipatie mahitaji yako kwa bei rahisi, maneno
matupu hayavunji mfupa jionee mwenyewe mazaga zaga toka Majuu hapo chini.
Mkurugenzi wa Chura Fashion akiwa na mteja |
Pamba za kiume |
Pamba za madada |
Majembe ya Tabora. |
Flat shoes kali za madada |
Miguu mikali kwa majembe! |
The man himself director ma man Mashaka Chura |
Kitale, Dyna na Kala Jeremaya wapagawisha Tabora
Kala Jeremaya mwingine! |
Kala Jeremaya akiwarusha wapenzi wake katika ukumbi wa Royal Garden |
Msanii wa vichekesho na muziki Kitale akifanya vitu vyake jukwaani Royal Garden Tabora. |
Baadhi ya washabiki wa Kitale wakifurahia show |
Dyna akiwa na mshabiki mmoja aliyemwita jukwaani kuimba naye |
Mziki kunoga! |
Shindano la Miss Tanzania lazinduliwa rasmi jana
Miss Tabora 2013 Sarah Paul (in blue)akiwa na warembo wengine jana |
Banana Zorro wa B Banda akitoa burudani jana usiku |
Miss Tanzania 2012/13 Brigitte Alfred katikati akiwa na warembo wenzake |
ZILIPENDWA: Faraja Kotta kulia na Nancy Sumari wakiwa na mdau wa fani urembo |
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)