Kwa nje Chura Fashion |
Chura
Fashion ni duka la nguo za kike na kiume, viatu na mazaga zaga kibao
mjini Tabora. duka hilo ambalo lina section mbili yaaniya kike na kiume
halina mfano mjini Tabora. Hasa katika kipindihiki weekend inakaribia
nawashauri wale wapenda outing wasipoteze muda kuzunguka sijui Mtaa wa
Salmini au wapi, we fika tu CHURA FASHION ujipatie mahitaji yako kwa bei rahisi, maneno
matupu hayavunji mfupa jionee mwenyewe mazaga zaga toka Majuu hapo chini.
Mkurugenzi wa Chura Fashion akiwa na mteja |
Pamba za kiume |
Pamba za madada |
Majembe ya Tabora. |
Flat shoes kali za madada |
Miguu mikali kwa majembe! |
The man himself director ma man Mashaka Chura |