mkalamatukio

Kitale, Dyna na Kala Jeremaya wapagawisha Tabora

Kala Jeremaya mwingine!

Kala Jeremaya akiwarusha wapenzi wake katika ukumbi wa Royal Garden






Msanii wa vichekesho na muziki Kitale akifanya vitu vyake jukwaani Royal Garden Tabora.
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flava Kitale, Dyna na Kala Jeremaya jumamosi ya tarehe 6/4/2013 walitoa burudani safi katika manispaa ya Tabora ndani ya ukumbi wa Royal Garden. Onesho hilo ambalo lilifana sana pamoja na kuhudhuriwa na watu wachache kutokana na hali ya hewa kutishia mvua kunyesha amabapo mnammo majira ya saa 2 usiku manyunyu yalidondoka katika maeneo mengi mjini Tabora.
Baadhi ya washabiki wa Kitale wakifurahia show
Dyna akiwa na mshabiki mmoja aliyemwita jukwaani kuimba naye

Mziki kunoga!


Yupi Cristiano na yupi ni Ronaldo?

Ama kweli duniani wawili wawili

Shindano la Miss Tanzania lazinduliwa rasmi jana

Miss Tabora 2013 Sarah Paul (in blue)akiwa na warembo wengine jana
Shindano la Miss Tanzania 2013 lilizinduliwa rasmi jana usiku katika hoteli ya Serena (Moven Pick) ambapo kamati ya Miss Tanzania ikishirikiana na mdhamni mkuu wa shindano hilo TBL kupitia kinywaji chake cha Redds Premium cold
Banana Zorro wa B Banda akitoa burudani jana usiku

Miss Tanzania 2012/13 Brigitte Alfred katikati akiwa na warembo wenzake

ZILIPENDWA: Faraja Kotta kulia na Nancy Sumari wakiwa na mdau wa fani urembo

Gari inauzwa!


Toyota Rav 4 inauzwa: 
2002 Model, 14,000 Milleage,1998Cc, Full ac, cd radio, Leather seats, Sun roof. For more details please inbox me on facebook or call 0754666620

Miss Tanzania 2012/13 Brigitte Alfred

Mkurugenzi wa Miss Tanzania Bw Hashim Lundenga akisisitiza jambo katika semina ya mawakala iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika hoteli ya Girraffe jijini Dar. Aliyeketi kushoto kwake ni Miss Tanzania 2012/13 Brigitte Alfred.
Wonderful!

Mja mzito ashangazwa na uso kujitokeza tumboni mwake


         Tumbo la Karen McMartin lionekanavyo kwa nje  

Hali hii ingeweza kujitokeza katika scene za filamu za kutisha kama ile maarufu ALIEN. Lakini mama mtarajiwa Karen McMartin na mumewe David walipigwa butwaa pale sura ya binadamu mtu mzima kujionesha katika tumbo la mja mzito huyo  ndipo wakaamua kuipiga picha.




Mwaka 2012!

Waremboz!