Mama Samia Suluhu Awasili Kigoma, Wananchi Wasimamisha Shughuli Kumlaki
Baadhi ya Wananchi wakiwa wamesimama pembezoni mwa barabara kumlaki mgombea mwenza wa urais CCM alipokuwa akiwasili Mkoani Kigoma kufanya mikutano yake ya kampeni. |
Mgombea mwenza akizungumza na wananchi waliomsimamisha njiani kuwasilisha kero zao. |
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Tarafa Mwandika mkoani Kigoma kuhutubia wananchi katika ziara yake ya kampeni mkoani humo. |
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Tarafa Mwandika mkoani Kigoma kuhutubia wananchi katika ziara yake ya kampeni mkoani humo. |
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo katika mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Community Center Jimbo la Kigoma Mjini. |
Burudani baada ya mapokezi ya mgombea mwenza kuwasili mkoani Kigoma. |
Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba akizungumza na wananchi katika mkutano huo. |
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiwahutubia wanaCCM na wananchi katika Uwanja wa Community Center Jimbo la Kigoma Mjini. |
Mgombea mwenza wa CCM, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akiwahutubia wanaCCM na wananchi katika Uwanja wa Community Center Jimbo la Kigoma Mjini. Picha na www.thehabari.com/Kigoma. |
Harusi ya mwana TBN Dickson Busagaga ilivyofana!
Dickson
Busagaga na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa
iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika
kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la Tabora mnamo tarehe 23
Sep, 2015.
Waharusi (Dickson na Salome) wakionesha pete zao mara baada ya kuungana na kuwa kitu kimoja.
Hakika
ilikuwa ni siku ya furaha sana kwao, hata walipoingia ukumbini katika
sherehe ya usiku walidhihirisha kuto kubahatisha kuungana kwao.
Furaha ilitawala sana miongoni mwao na waalikwa wote.
MC Ndagula katika ubora wake wa kazi.
ZIFUATAZO NI PICHA ZA SENDOFF ILIYOFANYIKA TAREHE 19/09/2015 ORION
(TABORA HOTEL)
Picha ya pamoja ya maids, matron na aliyekuwa bibi harusi mtarajiwa
Mrs Patrick na Salome (aliyekuwa bibi harusi mtarajiwa) wakiingia ukumbini
Wazazi wa Salome wakisalimia waalikwa katika sherehe za kumuaga mtoto wao Salome.
Wanakamati katika ubora wao wa kukabidhi zawadi za kamati
Dickson Busagaga, Mume halala wa Salome.
Bw. Patrick (Best man)
Picha na aloyson.com -TBN Tabora
Zetrida Ezekiel atoka na Ringa na Yesu!
Lakini baada ya kupata rai nyingi na kwa muda mrefu toka kwa wachungaji wake na watu mbali mbali kuwa atengeneze albamu yake kama mwanamuziki wa kujitegemea,hatimae mwezi wa August mwaka huu Zetrida alikuja Dar es Salaam na kuanza kazi ya kutengeneza albam yake binafsi.
Zetrida Ezekiel akiwa katika pozi.
Album yake inayoitwa Ringa na Yesu ina nyimbo nane na nyimbo zote amezifanyia Tika records chini ya mtayarisha muziki maarufu nchini aitwaye Ephraim Kameta ambapo nyimbo sita katika albam yake hiyo zilitengenezwa na Kameta na mbili zikitengenezwa mtayarisha muziki machachari PG zote katika studio za Tika records pia. Katika albam hiyo kuna nyimbo kama Ringa na yesu liyobeba jina la albam Malaika, waombee maadui zako na nyingine nyingi zenye kiwango cha hali ya juu.
Akiongea na mtandao huu kwa njia ya simu Zetrida alipoulizwa ana mipango gani ya kufanya video ya albam hiyo Zetrida alisema "Natamani sana hata leo nianze kuandaa video lakini pesa inagomba kwa saa hasa baada ya kutoka kuandaa albam hii ya audio ambaye imechukua pesa nyingi kuandaa, inabidi nijpange tena kwanza"
|
Na alipoulizwa nini mipango yake ya baadae baada ya lutoa albamhiyo alisema "Mipango yangu ya baadae ni kumtangaza Yesu ndani na na nje ya Tanzania kwa kuwa ni kitu kilicho ndani ya damu yangu" Pia alielezea changamoto alizokutana nazo wakati akitayarisha albam hiyo ni pamoja kutofanya kazi kwa wakati uliopangiwa jambo ambalo hutokana na sababu mbali mbali ikiwemo katikizo la umeme, ambapo inatokea kazi iliyokuwa ifanyike jana inahamishiwa leo na wa leo ama utafanya kazi mida mibaya au kupangiwa siku nyingine. Lakini nashukuru sana kuwa nimeeza kumaliza albam hiyo bila tatizo.
Mwisho kabisa Zetrida alipenda kutoa shukurani zake akisema "Napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa ujasiri wa kufanya albam yangu mwenyewe na pili mume wangu kwa kuniruhusu kufanya kazi hii ya uimbaji pia kujitoa kwake kwa hali na mali, vile vile bila kumsahau Mchungaji Joseph Malumbu wa Kijichi Mtongani ambaye alihusika katika usimamaizi wa albam ya Ringa kwa Yesu. Pia niwaombe tu wapenzi wa muziki wa injili waipokee albam yangu na wainunue kwa wingi kwani humo kuna nyimbo nzuri sana zenye kumtukuza Bwana Yesu hivyo kila mmoja ajipatie nakala yake sasa kwani tayari albami ipo madukani.
Kwa mialiko popote ndani na nje ya Tanzania wasiliana naye kwa nambari
+255675 406917/ +255756823477
au kwa barua pepe
zetridaezekiel@yahoo.com
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)