JK ALOPOKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UHOLANZI JIJIJINI THE HAGUE
Sonigwe(red top) akisubiri kusalimiana na Mh Rais Kikwete alipokutana na wa Tazania wanaoishi Holland |
Watanzania waishio Uholanzi walikusanyika siku ya Jumatatu Juni 9, 2015 katika hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague kukutana na kumsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete aliyekuwa nchini humo kwa mwaliko wa Mfalme Willem-Alexander
Wajumbe walioongozana na Rais Kikwete katika ziara hiyo
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi

Ujumbe wa Rais Kikwete
Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. William Masilingi akimkaribisha mgeni
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Wadau wa Uholanzi wakiwa na furaha kumuona JK
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi wakiimba wimbo wa Taifa

Mama Balozi na wageni wakiimba wimbo wa Taifa
Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi

Wadau wa Uholanzi
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
DJ Khatibu akikorofisha mambo

Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Makaazi wa Zanzibar Mhe. Ramadhani Abdalla Shaban akitambulishwa
Sehemu ya wageni waalikwa
Wafanyakazi katika Ubalozi wa Tanzania The Hague
Baadhi ya maafisa waandamizi wa Tanzania
Sehemu ya umati wa Watanzania waishio Uholanzi
Kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania Uholanzi akisoma risala yao
Sehemu ya ujumbe wa Rais Kikwete
Sehemu ya ujumbe wa Rais Kikwete
Mtanzania anayeendesha shirika lisilo la kiserikali linalotoa misaada Tanzania akitambulishwa

Rais Kikwete akimpongeza kiongozi wa Jumuiya ya Watanzania bada ya kusoma risala
Meza kuu ikifurahia muziki wa Tanzania ulipokuwa unaporomoshwa kuchagiza hafla hiyo

Wajumbe wa kamati ya maandalizi wakipeleka zawadi kwa Rais Kikwete
Meza kuu ikifurahia muziki wa Tanzania uliokuwa unaporomoshwa kuchagiza hafla hiyo
Zawadi kwa Rais Kikwete
Balozi Masilingi akielezea zawadi maalumu kwa Rais Kikwete
Rais Kikwete akipokea zawadi maalumu ya Watanzania waishio Uholanzi toka kwa Balozi Masilingi

Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa Watanzania Uholanzi
Picha ya Kumbukumbu
Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi
Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi
Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi
Rais Kikwete akipata picha za kumbukumbu na Watanzania waishio Uholanzi

RC GAMA AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwa bungeni dhidi yake. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga katika mkutano huo na wanahabari. |
MSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA WAWASILI WILAYANI KAHAMA USIKU HUU KWA BASI,KESHO KUANZA RASMI ZIARA YA KAGERA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na kamati ya Ulinzi na Usalama usiku huu ndani ya wilaya Kahama mkoani Shinyanga tayari kwa mapumziko,ambapo kesho ataianza rasmi ziara yake katika kijiji cha Nyakanazi wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera,Ndugu Kinana ndani ya Biharamulo atapokea taarifa za chama na Serikali na baadae kuzungumza na Wafugaji wa kanda ya Ziwa (Mikoa ya Geita,Kagera,Mwana na Shinyanga) na baadae kueleke Bukoba mjini.
Ndugu Kinana amewasili wilayani humo akielekea mkoani Kagera kwa basi maalum katika ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2010 na kuimarisha uhai wa chama,akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na baadhi ya Maofisa wa chama.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mbunge wa jimbo la Nzega usiku huu Dkt.Hamis Kingwangalla,mara baada ya kuwasili wilayani humo akielekea mkoani Kagera kwa basi maalum katika ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2010 na kuimarisha chama.Ndugu Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na baadhi ya Maofisa wa chama.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akipokelewa na baadhi ya viongozi wa chama hicho usiku huu wilayani Nzega mkoani Tabora akielekea mkoani Kagera kwa basi maalum katika ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2010 na kuimarisha chama.Ndugu Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na baadhi ya Maofisa wa chama.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akiwa na baadhi ya viongozi wa chama na serikali mara baada ya kuwasili wilayani humo akielekea mkoani Kagera kwa basi maalum katika ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezwaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM mwaka 2010 na kuimarisha chama.Ndugu Kinana pia aliwashukuru wakazi wa wilaya hiyo kwa kumpokea vyema na kumtakia kheri katika safari yake ya kujenga chama na nchi kwa ujumla
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akiwashukuru wapenzi na washabiki wa chama hicho wilayani Nzega usiku huu kwa kumpokea vyema na kumtakia kheri katika safari yake ya kukijenga na kukiimarisha chama na nchi kwa ujumla
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana akimshukuru Mbunge wa Nzega Dkt Hamis Kingwangalla kwa mapokezi mazuri wilayani humo,ndugu Kinana amewasili wilayani humo mnamo majira saa nne usiku na ushehe akitokea jijini Dar kwa basi maalum akiwa emeambatana na ujumbe wake akielekea mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi
Mbunge wa Nzega Dkt Hamis Kingwangalla akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana .
PICHA NA MICHUZI JR.KAHAMA.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)