Mapacha watatu wazindua albam Tabora!
UZINDUZI; Chokoraa kushoto na Jose Mara wakizindua album mpya katika ukumbi wa Frankman, Tabora. |
Mdau wa mapacha watatu! |
Siku Mapacha watatu walipovamia Tabora!
Bendi machachari ya Mapacha watatu toka jijini Da re Salaam ilifanya onesho kabambe mjini Tabora katika ukumbi wa Frankman Palace usiku wa alhamisi. Bendi hiyo ikiwa china ya mkurugenzi wake Jose Mara(Mzee wa Kimara) na rapa machachari Khalid Chokoraa ilikuwa njiani kueleka Kahama na ambako walifanya onesho siku ya Ijumaa na leo Jumamosi watakuwa jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Bendi ya Mapaha watatu akifanya vitu vyake jukwaani |
Wanenguaji wakimwaga vimbwanga! |
Shughulikaaaa! |
Mariam Zidane akinengua! |
Mikono mbele, twende! |
Washabiki wa Mapacha watatu wakiongozwa na Benny Ngwasuma wakila bata ndefuuuu! |
Msiba Uhazili! Tabora
Marehemu: Mariam Jumanne Tandala |
"Wa Inna llah wa inna illahi Rajiun"
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala
pema peponi.Amen!
Majonzi: Bwana ametoa Bwana ametwaa! |
Wanachuo wakifuatilia dua na maombi yalikuwa yakifanywa ukumbini humo |
Afisa utamaduni Tabora azindua Redss Miss Tabora 2013 rasmi!
Afisa Utamaduni wilaya ya Tabora Bw Katunzi akisisitiza jambo |
Models wa Redds Miss Tabora wakiwa wamevalia fulana maalum zinazotolewa na mdhamini mkuu Tbl kupitia kinywaji chao cha Redds Premium cold. |
Nassor Wazambi (Mkuu wa itifaki) wa kamati ya Miss Tabora 2013 akisisitiza jambo jana katika uzinduzi wa shindano hilo |
Warembo wa Miss Tabora wakionesha Redds Premium cold. |
Toka kushoto: Saad Masawila, Mkala Fundikira, Pili Issa (Miss Tabora 2010) na Zena Motte(Miss Singida 2012/13) |
Baadhi ya washiriki wa shindano la Miss Tabora waki pozi kwa picha! |
Jon Myuzik avamia Tabora!
Msanii Jon Myusik aki pose! |
Kushoto; Mkala, Pili Issa, Jon Myuzik na Danny Kijumbe at Las Vegas pub Tabora |
Kushoto;Pili Issa, Aloyson Mlawa, John Myuzik na Danny Kijumbe. |
Dayna amtunza shabiki buku kumi!
Dyna na patna wake wa stejini. |
Kazini. |
Ile ile. |
Hapa Dyna akitoa sh 10,000/= |
Majembe; Dj Kali, msanii Man Fley na Mshabiki wa Bongo Flava wakifuatilia show. |
Msanii Man Fley na Mshabiki wake |
Mmoja wa wamiliki wa klabu ya Royal Adam Fundikira na mkewe Joyce katikati wakifuatili onesho hilo |
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)