Picha zaidi za semina ya Redds Miss Tanzania!
Kulia ni wakala wa Redds Miss Njombe |
Tunachukua notice |
Tom Chilala mwenye shati jeupe na Khadija Kalili kushoto kwake |
Hidan Ricco na Ephraim Makoye wa kamati ya Miss Tanzania |
Kulia ni wakala wa Miss Singida |
Baadhi ya waandaji mawakala wakifuatilia semina kwa umakini |
Muandaaji wa Redds Miss Temeke Bw Kisaka na William Malecela wa Blog ya wananchi. |
Semina ya mawakala wa Redds Miss Tanzania yafanyika
Mkurugenzi wa Lino International inayoratibu shindano la Miss Tanzania Bw Hashim Lungenga akisisitiza jambo alipokuwa akifungua semina ya mawakala wa Miss Tanzania 2014. |
Kutoka kushoto ni katibu wa Miss Tanzania Bw Bosco Majaliwa, Mshauri wa ufundi Bw Ramesh Patel, Hashim Lundenga, Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa na mshindi wa pili wa shindano hilo. |
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa |
Kutoka kushoto Bw Bosco Majaliwa, Ramesh Patel na Bw Hashim Lundenga |
Wakala wa kituo cha Dar na Awetu wa gazeti la KIU |
Baadhi ya mawakala wa Miss Higher Learning |
Muandaaji wa Redds Miss Njombe, Miss Sylvia |
Kutoka kushoto ni Miss Jacky, Tom Chilala wa star T na Khadija kalili wa Tanzania Daima |
Mpigie kura Ally Baucha ashinde Kili Music Awards!
Msani machachari Ally Baucha ambaye kupitia wimbo wake Kelele aliomshirikisha Ally Kiba ameteuliwa kushiriki katika kinyang'anyro cha kugombea tuzo za Msanii anayechipukia ambapo amepewa namba 23 na vile vile amepewa namba 26 katika kugombea tuzo ya msanii bora mtumbuizaji wa kiume. Ili kumpigia kura Baucha fuata maelekezo hapo juu.
Mama Agnes Matle Ngula afariki leo asubuhi!
Bw na Bibi Venance Ngula wakiteta jambo enzi za uhai wa Bibi Agnes Matle Ngula |
Mama Ngula akibandikwa mabusu na mwanae Wali Francis Ngula na mkewe Enika Kombe Ngula muda mfupi baada ya harusi yao mwaka juzi . |
Mtoto wa mwisho wa mama Agnes, Nancy Ngula akiwa na marehemu |
Bibi Agnes Matle Ngula enzi za ujana wake. |
Francis Wali Ngula |
Shabiki wa Liverpooll auawa kwa kumkejeli shabiki wa Arsenal!
Obama na Beyonce wazushiwa jambo!
Mtandao wa dailystar.co.uk wa nchini Uingereza ambao ni maarufu kwa habari za kidaku, leo hii umechapisha habari ilizodaiwa na mwandishi wa habari Mfaransa Paschal Rostain kuwa gazeti linaloheshimika nchini Marekani la Washinton Post linatarajiwa kuandika habari kuwa the most powerful man in the world, Rais wa Amerika Bw Barack Obama ana mahusiano ya kimapenzi na mwimbaji Byonce Knowles ambaye ni mke wa mwanamuziki Jay-Z. Rostain alikaririwa akisema "Unajua katika siku hizi kuna habari kubwa inatarajiwa kuchapishwa na gazeti la Washington Post kuwa Obama na Beyonce wana uhusiano usiofaa, na akaongeza "Dunia nzima italiongelea hili sana"
Lakini msemaji wa gazeti hilo Wasington Post Bw Kriss Coratti alipoulizwa juu ya habari hiyo akasema hana habari yeyote juu ya hilo ila akaongeza Rais Obama na mkewe wamekuwa na matatizo hivi karibuni, "Lakini sijui zaidi ya hapo"
Baada ya yote hayo Paschal Rostain sasa ameeleza kuwa hajawahi kusema kitu chochote ya Rais Obama na mkewe.
Beyonce kupitia msemaji wake alikanusha madai hayo na kusema "Ni kichekesho". Hata hivyo inafahamika kuwa familia ya Obama ni rafiki na familia ya Beyonce Knowles ambapo Beyonce aliimba siku ya kuapishwa Barack Obama na vile vile aliimba katika maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Michelle Obama kutimiza miaka 50.
Lakini msemaji wa gazeti hilo Wasington Post Bw Kriss Coratti alipoulizwa juu ya habari hiyo akasema hana habari yeyote juu ya hilo ila akaongeza Rais Obama na mkewe wamekuwa na matatizo hivi karibuni, "Lakini sijui zaidi ya hapo"
Baada ya yote hayo Paschal Rostain sasa ameeleza kuwa hajawahi kusema kitu chochote ya Rais Obama na mkewe.
Beyonce kupitia msemaji wake alikanusha madai hayo na kusema "Ni kichekesho". Hata hivyo inafahamika kuwa familia ya Obama ni rafiki na familia ya Beyonce Knowles ambapo Beyonce aliimba siku ya kuapishwa Barack Obama na vile vile aliimba katika maadhimisho ya siku ya kuzaliwa ya Michelle Obama kutimiza miaka 50.
Ahsante sana kwa wimbo mzuri. Obama akimshukuru Beyonce siku ya kuapishwa kwake. |
Siku ya kuapishwa Obama |
Happily married; Beyonce na mumewe Jay-Z |
Kwani timu yako ikifungwa goli tano lazima uanguke?
Baada ya timu ya Arsenal (The Gunners) jana kupokea kipigo kikali kilichoendana na maumivu makali cha goli 5-1 toka kwa timu ya Liverpool (Bwawa la maini) aka (Liverfools) kocha Arsene Wenger aliteleza na kuanguka nje ya stesheni ya treni ya LIVERPOOL LIME STREET akiwa anaelekea kupanda treni kuelekea London baada ya mchezo huo wa Barclays Premier league ambapo askari wawili walikimbilia kumuinua kutoka hapao alipoangukia. Wenger alionekana mwenye maumivu makali kufuatia mwereka huo ambapo mashabiki wengi wa Manchester United wamedhihaki wenzao wa Arsenal kuwa mwereka huo ni kiwewe cha kufungwa na Liverpool na hatimaye kupoteza uongozi wa ligi hiyo maarufu duniani.
Ouch!
Maumivu makali!
Pole baba,haya simama!
Picha kwa hisani ya Twitter/TSBible, habari kwa hisani ya mailonlne
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)